Tanzania kuwa Donor country kwenye sector ya Afya

Tanzania kuwa Donor country kwenye sector ya Afya

Sijaelewa naomba unieleweshwe .Hivi wale maspecialist wengi walioko pale Muhimbili ,kuanzia taasisi ya Moyo na ile ya Mufupa ambao wengi wao walisoma nje ya nchi ; Je ,wamesoma hii miaka miwili tu ya awamu ya 5 au wameibuka tu from no where ?

Nikipata jibu nitajua namna ya kupongeza !
Lakini watanzania hawapati huduma ipasavyo chakula kizuri kwa mgeni watoto watakuja kilicho bakia
 
Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi
Kwani Mkapa na kikwete walikuwa CHAUMA?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kawashika pabaya
Siyo ujanja kijana. You need to dance with the music. Sasa ubaleta michezo ya vanga kwenye mdumange!! Why don't you concentrate kwenye jukwaa la siasa!! Maana kwa sasa jukwaa hilo halipo tofauti na umbea.
Ujuaji mwingi mbele kiza.
 


Mambo yanazidi kuwaka kila kona. Sasa hivi hospital ya Mhumbili imekuwa mkombozi kwa nchi za Afrika. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Comoros, Malawi, Msumbiji, Congo, Zambia nk. Kimbilio lao kwa sasa ni Muhimbili.
Viva magufuli
 
Siyo ujanja kijana. You need to dance with the music. Sasa ubaleta michezo ya vanga kwenye mdumange!! Why don't you concentrate kwenye jukwaa la siasa!! Maana kwa sasa jukwaa hilo halipo tofauti na umbea.
Ujuaji mwingi mbele kiza.
.
IMG-20180921-WA0013.jpg
 
Hizo 66 zipo wilaya zipi hapa Tanzania?
Waziri wa viwanda alisema kuwa mpaka sasa kuna viwanda 3000 na zaidi lakini PM kasema kuwa mpaka sasa kuna viwanda 1700 sasa sijui nani mkweli kuliko mwenzake.

Hii awamu mnajitahidi kuongeza namba kweli kweli.
i think hizo hospital ndio tenda zimeanza kutangazwa mwezi wa saba katafute you tube ya millard ayo mh jafo aliongea ivo
 
Back
Top Bottom