Tanzania kuwa Zimbabwe Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,923
Reaction score
4,594
Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.

Muda huu kuna uifsadi wa kutisha katika Wizara na Mashirika. Mfano Wizara zinazoongoza kwa ufisadi ni Kilimo, Maji, TAMISEMI kupitia miradi ya DMDP na Nishati. Hawa wote wakishapiga wanarudisha kick backs kwa mamlaka kupitia kinachoiitwa maandalizi ya Uchaguzi.

Well and good, Hazing imekauka, mmesikia juzi Mwigulu yupo Poland kwa madalali kutafuta mkopo wa ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Reli ya SGR ambacho kinakosa ufadhili kila siku sababu wafadhili wanajioondoa baada ya kugundua vitendo vya rushwa na upikaji wa takwimü za uchumi.

Baada ya ucgaguzi huu, jumuiya ya kimataifa itachukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kutokutokopesha fedha kwaajili ya maendeleo. Ukizingatia na wizi na uifisadi unaoendelea naiona Tanzania ikiwa Zimbabwe mpya.

Je mna taarifa sasa hivi mishahara inalipwa kwa over draft toka BOT? sasa endeleeni na mambo ya mitano tena, janga lipo njiani.
 
Mkuu no reform no election si kampeni ya Samia, wala Samia hakuwazuia Chadema kutokusaini fomu za maadili hivyo hii sentensi ya Samia hataki TAL awe kwenye ballot ina walakini. Kilichopo ni ccm kutokuwa tayari kuhairisha uchaguzi kwa ajili ya reforms anazozitaka TAL.
Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot
 
Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.

Muda huu kuna uifsadi wa kutisha katika Wizara na Mashirika. Mfano Wizara zinazoongoza kwa ufisadi ni Kilimo, Maji, TAMISEMI kupitia miradi ya DMDP na Nishati. Hawa wote wakishapiga wanarudisha kick backs kwa mamlaka kupitia kinachoiitwa maandalizi ya Uchaguzi.

Well and good, Hazing imekauka, mmesikia juzi Mwigulu yupo Poland kwa madalali kutafuta mkopo wa ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Reli ya SGR ambacho kinakosa ufadhili kila siku sababu wafadhili wanajioondoa baada ya kugundua vitendo vya rushwa na upikaji wa takwimü za uchumi.

Baada ya ucgaguzi huu, jumuiya ya kimataifa itachukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kutokutokopesha fedha kwaajili ya maendeleo. Ukizingatia na wizi na uifisadi unaoendelea naiona Tanzania ikiwa Zimbabwe mpya.

Je mna taarifa sasa hivi mishahara inalipwa kwa over draft toka BOT? sasa endeleeni na mambo ya mitano tena, janga lipo njiani.
CCM ni kansa kwa Tanzania yetu
 
Halafu hii mikataba mingi ya hivyo vipande na ufadhili WA mara china ,, mara kipande cha uvira, sijui eneo Fulani la kugoma kuingia Burundi kinabufadhili WA mtu binafsi, mpaka naona kuna vipande Fulani fulani vina mkopo miwili miwili
 
Sasa wasipotukopesha si ndo sawa? Kwani kila siku nyie si mnalalamika deni la taifa limekua kubwa? Sasa una hofu ya nini nchi ikinyimwa mkopo? Au wewe bado unataka deni la taifa liendelee kukua?
 
Tanzania haijawahi na haitokaa itokee tena kuongozwa na uongozi too low kama wa huyu mama, hata CCM vigogo wazalendo wanajuta!!.
 
Basi haya
 
Tanzania haijawahi na haitokaa itokee tena kuongozwa na uongozi too low kama wa huyu mama, hata CCM vigogo wazalendo wanajuta!!.
Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.

Muda huu kuna uifsadi wa kutisha katika Wizara na Mashirika. Mfano Wizara zinazoongoza kwa ufisadi ni Kilimo, Maji, TAMISEMI kupitia miradi ya DMDP na Nishati. Hawa wote wakishapiga wanarudisha kick backs kwa mamlaka kupitia kinachoiitwa maandalizi ya Uchaguzi.

Well and good, Hazing imekauka, mmesikia juzi Mwigulu yupo Poland kwa madalali kutafuta mkopo wa ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Reli ya SGR ambacho kinakosa ufadhili kila siku sababu wafadhili wanajioondoa baada ya kugundua vitendo vya rushwa na upikaji wa takwimü za uchumi.

Baada ya ucgaguzi huu, jumuiya ya kimataifa itachukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kutokutokopesha fedha kwaajili ya maendeleo. Ukizingatia na wizi na uifisadi unaoendelea naiona Tanzania ikiwa Zimbabwe mpya.

Je mna taarifa sasa hivi mishahara inalipwa kwa over draft toka BOT? sasa endeleeni na mambo ya mitano tena, janga lipo njiani.
Kwani lii ilikuwa kama London?
 
Won't happen never ever
 
Haitatoke hiyo. Nukipata muda nitawaeleza kwanini. Msiwe na matumaini yoyote.
 
Back
Top Bottom