wanashambulia kama mchwa mkuuNi serikali ya mafisadi tupu, yaani imejaa wapiga dili
Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot
System imejaa majangili tupuwanashambulia kama mchwa mkuu
CCM ni kansa kwa Tanzania yetuKuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.
Muda huu kuna uifsadi wa kutisha katika Wizara na Mashirika. Mfano Wizara zinazoongoza kwa ufisadi ni Kilimo, Maji, TAMISEMI kupitia miradi ya DMDP na Nishati. Hawa wote wakishapiga wanarudisha kick backs kwa mamlaka kupitia kinachoiitwa maandalizi ya Uchaguzi.
Well and good, Hazing imekauka, mmesikia juzi Mwigulu yupo Poland kwa madalali kutafuta mkopo wa ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Reli ya SGR ambacho kinakosa ufadhili kila siku sababu wafadhili wanajioondoa baada ya kugundua vitendo vya rushwa na upikaji wa takwimü za uchumi.
Baada ya ucgaguzi huu, jumuiya ya kimataifa itachukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kutokutokopesha fedha kwaajili ya maendeleo. Ukizingatia na wizi na uifisadi unaoendelea naiona Tanzania ikiwa Zimbabwe mpya.
Je mna taarifa sasa hivi mishahara inalipwa kwa over draft toka BOT? sasa endeleeni na mambo ya mitano tena, janga lipo njiani.
Halafu hii mikataba mingi ya hivyo vipande na ufadhili WA mara china ,, mara kipande cha uvira, sijui eneo Fulani la kugoma kuingia Burundi kinabufadhili WA mtu binafsi, mpaka naona kuna vipande Fulani fulani vina mkopo miwili miwiliKuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.
Muda huu kuna uifsadi wa kutisha katika Wizara na Mashirika. Mfano Wizara zinazoongoza kwa ufisadi ni Kilimo, Maji, TAMISEMI kupitia miradi ya DMDP na Nishati. Hawa wote wakishapiga wanarudisha kick backs kwa mamlaka kupitia kinachoiitwa maandalizi ya Uchaguzi.
Well and good, Hazing imekauka, mmesikia juzi Mwigulu yupo Poland kwa madalali kutafuta mkopo wa ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Reli ya SGR ambacho kinakosa ufadhili kila siku sababu wafadhili wanajioondoa baada ya kugundua vitendo vya rushwa na upikaji wa takwimü za uchumi.
Baada ya ucgaguzi huu, jumuiya ya kimataifa itachukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kutokutokopesha fedha kwaajili ya maendeleo. Ukizingatia na wizi na uifisadi unaoendelea naiona Tanzania ikiwa Zimbabwe mpya.
Je mna taarifa sasa hivi mishahara inalipwa kwa over draft toka BOT? sasa endeleeni na mambo ya mitano tena, janga lipo njiani.
Nafikiri kodi ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na matumizi na upigajiKwa nini HAZINA imekauka ili hali tunalipa kodi.
Basi hayaSasa wasipotukopesha si ndo sawa? Kwani kila siku nyie si mnalalamika deni la taifa limekua kubwa? Sasa una hofu ya nini nchi ikinyimwa mkopo? Au wewe bado unataka deni la taifa liendelee kukua?
Kuna tundu moja kubwa, hela zinavuja.Kwa nini HAZINA imekauka ili hali tunalipa kodi.
Tanzania haijawahi na haitokaa itokee tena kuongozwa na uongozi too low kama wa huyu mama, hata CCM vigogo wazalendo wanajuta!!.
Kwani lii ilikuwa kama London?Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.
Muda huu kuna uifsadi wa kutisha katika Wizara na Mashirika. Mfano Wizara zinazoongoza kwa ufisadi ni Kilimo, Maji, TAMISEMI kupitia miradi ya DMDP na Nishati. Hawa wote wakishapiga wanarudisha kick backs kwa mamlaka kupitia kinachoiitwa maandalizi ya Uchaguzi.
Well and good, Hazing imekauka, mmesikia juzi Mwigulu yupo Poland kwa madalali kutafuta mkopo wa ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Reli ya SGR ambacho kinakosa ufadhili kila siku sababu wafadhili wanajioondoa baada ya kugundua vitendo vya rushwa na upikaji wa takwimü za uchumi.
Baada ya ucgaguzi huu, jumuiya ya kimataifa itachukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kutokutokopesha fedha kwaajili ya maendeleo. Ukizingatia na wizi na uifisadi unaoendelea naiona Tanzania ikiwa Zimbabwe mpya.
Je mna taarifa sasa hivi mishahara inalipwa kwa over draft toka BOT? sasa endeleeni na mambo ya mitano tena, janga lipo njiani.
Won't happen never everKuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu nayeweza kueleza kwa ufasaha ufisadi mkubwa unaoendelea nchini ni TL pekee.