Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1697294048122.png
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
 
Wale wawili waliopotea wamepatikana?
 
Back
Top Bottom