BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Oct 14, 2023 #1 Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Oct 14, 2023 #2 Wale wawili waliopotea wamepatikana?