Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy
Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania