Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Huu ni ushauri mujarab sana lakini matutusa wa Lumumba hawasikii la mwadhini wala la mzegazega. Ipo siku nchi hii itatumbukia shimoni jumla. Hapo ndipo kila mtu atalia na kusaga meno. Mungu tuepushie mbali huu utawala wa kidikteta.

CC: MOTOCHINI, jingalao, Ruttashobolwa, Lizaboni, TataMadiba, Ritz, FaizaFoxy, Simiyu Yetu, MwanaDiwani, stroke imhotep Magonjwa Mtambuka Mgambilwa ni mntu Musiba
Umeme wa REA walitunyima fedha ila tuliendelea kuutekeleza kwa fedha zetu za ndani
 
A twit at your best. Wewe endelea kubinua mknd ipo siku utakula ma.vi mshenzy mkubwa!
 
Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy

Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja

MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
"Nairobian, TRAVEL BAN- SI JPM ALISHAFUTA SAFARI ZA NJE- HIYO HATUPATI-SEMA JINGINE
 
Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy

Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja

MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Naona umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe!
 
Back
Top Bottom