- Thread starter
- #301
Ndugu yangu usiombe haya mambo yatufike. Siyo ya CHADEMA. Hata mamako yatamhusuTetesi zimetanda ufipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu usiombe haya mambo yatufike. Siyo ya CHADEMA. Hata mamako yatamhusuTetesi zimetanda ufipa.
Nchi huru haitishwi na kelele za wahisani. Tuna raslimali nyingi za kutosha. Land, Capital and Labours
Hili bomba halijii, take it feom me Total ndiyo wenye dhamana na hawata kubali financing from china na kuharibu interest zao , kumbuka wao ni french, sisi ni punguwaniNaona pia kuna kamgomo kwenye Bomba la mafuta la Hoima wawekezaji na shareholders wao wamestuka.....atang'oka tu.
Tujiungeni pamojaNdugu yangu usiombe. Angalia Venezuela na Iran. Usiombe yatufike. Bora jiwe atoke
Stupid statementNairobian, naamini hoja yako ni hii Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo tu katika bandiko lako. Mwenye kuuondoa uongozi madarakano Serikali ni wananchi na hapo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Pamoja na bandiko lako Tanzania iko imara kiusalama na kiuchumi kuliko nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yaani unataka turudi kwenye Ujima yaani Hunting and Gathering? Ukiwekewa vikwazo kesho tu Magufuli utamwona shetaniNchi huru haitishwi na kelele za wahisani. Tuna raslimali nyingi za kutosha. Land, Capital and Labours
Jiunge wewe, mimi siungi kupiga watu risasi, kuwakata pesheni wazee wetu kuzuia vyama vya siasa, unga wewe kupofu wa uzalendo
Nakubali kwamba Magufuli nchi imemshinda, ila sielewi huu 'Wema' wa wazungu kwetu umeanza lini!!
Nijuavyo, wazungu wana permanent interest, hawanaga rafiki wala adui wa kudumu. ******** hata angeua mashoga kwa risasi hadharani, au kumkatakata lissu kama kashoggi, kama asingegusa maslahi ya wazungu ( issue kama acacia, ku ally na China, ku temper na program zao za ukimwi nk) wasinge mgusa wala kutoa tamko lolote. Kuna mahala ******** kagusa maslahi yao, na huwezi kubaki salama ukigusa maslahi yao. ******** aamue kusuka au kunyoa
Wamisri wa Leo kitu walichofaulu ni kutengeneza Shisha tu
Magufool aamue kusuka au kunyoa
Huu ni ushauri mujarab sana lakini matutusa wa Lumumba hawasikii la mwadhini wala la mzegazega. Ipo siku nchi hii itatumbukia shimoni jumla. Hapo ndipo kila mtu atalia na kusaga meno. Mungu tuepushie mbali huu utawala wa kidikteta.Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy
Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania