Tanzania kwa kuogopa aibu, imekamata Wanahabari wawili wa Kenya

Tanzania kwa kuogopa aibu, imekamata Wanahabari wawili wa Kenya

Maroli hakuna kuvuka mpaka hatutaki UNAFIKI hapa eti ohh tumefunga lakini magar ya mizigo yataingia ila kwa kuwapima madereva upuuzi mtupu, Sasa cc tumesema hakuna kuingia kabisaa Kama biashara ngumu bc bora iwe ngumu zaidi halafu tuone nani ataumia zaidi mbona tutawanyoa bila maji mwaka huu tena kwa kiwembe cha kuokota

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kiwembe Cha kuokota hakiwezi kukosa tetenasi
 
Omba omba wenu wamejaa huku Kenya ni chakula wanatuletea?
Hivi mnafikiri hatuna habari za kwenu? Mkikamata Mtanzania anazurura mnamfunga miezi mitatu na hamtaki ajitetee kwa.lolote, wakitoka huko wanakuja tusimulia Ila mkija Tanzania mnakula bata, safari hii mmeyakorogo mtayanywa tu, Horohoro imeanza nyie si mnajua kusema Sisi tunaongea
 
Wanaoteseka sio kina Uhuru na Magufuli Bali ni wanainchi was Kenya na Tanzania. Wakulima was Tanzania wanahitaji hela na was kwetu wanahitaji chakula. Biashara Haina chama, kabila Wala mipaka sote tunategemeana.
 
Back
Top Bottom