rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Tena wapewe kesi ya ujasusi kwani kwao Corona haipo tena kuna lockdown kazi kuchafua jina la Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya yule mnywaruanda hayo[emoji23][emoji23]Bado picha ndio kwaanza linaanza , wache wajilock down wakimaliza waje tu kuomba chakula tutawasaidia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji86] huruma sana laiti mungekua munajua maana ya maneno haya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabaguzi wa wakubwa nyie, hata huruma hamna, eti kisa jamaa mpinzani ndio umbambikizie kesi za ajabu ajabu hvoNa nyie Kila kitu ndio mabeberu...hamna jema nyie.,
Umesha changanyikiwa tayari[emoji23][emoji23]
Umesha changanyikiwa tayari[emoji23][emoji23]
Yaonyesha waivuta jomba, manake sio kw ku think slow ki hvo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kesi gani hiyo?? Na ni Nani kabambikiwa ?Wabaguzi wa wakubwa nyie, hata huruma hamna, eti kisa jamaa mpinzani ndio umbambikizie kesi za ajabu ajabu hvo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwao kuna habari kibao lkn kiherehere chao kikawatuma wavuke border waandike habari ya kutuchafua ili wapewe msaada na mabwana zao,kitakachowakuta maji wataita mmaWale wenye tuliwaapimia.
Kwao kuna habari kibao lkn kiherehere chao kikawatuma wavuke border waandike habari ya kutuchafua ili wapewe msaada na mabwana zao,kitakachowakuta maji wataita mma
Even if happened 1960,that is shame for kunyan coz u do nothing to those monster who did thatI didn't know you are still in 2009. Sisi tuko 2020. When you happen to get to 2020 before end of the year please don't forget to remind me.
What are you doing to those your relatives that are slaughtering small children and albinos?Even if happened 1960,that is shame for kunyan coz u do nothing to those monster who did that
Halafu wewe huwa sikuamini kabisa siajabu upo Magomeni kwenye nyumba ya vyumba sita unasikilizia habari za Kenya kama tunavyosikiliza sisi huku umejiita mkurya kutoka Mara [emoji3][emoji3][emoji3]Hao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.
Wanaozurura hovyo hovyo ni hao wenu waliokuja na kalamu na karatasi kwetu, WA kwetu wanawaletea chakula fungeni mipaka mfe na njaa vilaza nyie. Hebu niambie Garisa kuna nini leo?Kwa jirani Moto ukiwaka itabidi uingilie Kati la sivyo utateketea pia. What Kenya, Zambia, Uganda and Rwanda are doing is to protect their people. Wewe unawachilia watoto wako wazurure ovyo ovyo?
[emoji1787][emoji1787]Watakachofanywa lazima Kenyatta aje Tanzania[emoji1241] kuweka mambo sawa
Watapata tabu saana maana mmezoea sana kinyHao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.