Tanzania kwa kuogopa aibu, imekamata Wanahabari wawili wa Kenya

Hahaha kiwembe Cha kuokota hakiwezi kukosa tetenasi
 
Omba omba wenu wamejaa huku Kenya ni chakula wanatuletea?
Hivi mnafikiri hatuna habari za kwenu? Mkikamata Mtanzania anazurura mnamfunga miezi mitatu na hamtaki ajitetee kwa.lolote, wakitoka huko wanakuja tusimulia Ila mkija Tanzania mnakula bata, safari hii mmeyakorogo mtayanywa tu, Horohoro imeanza nyie si mnajua kusema Sisi tunaongea
 
Wanaoteseka sio kina Uhuru na Magufuli Bali ni wanainchi was Kenya na Tanzania. Wakulima was Tanzania wanahitaji hela na was kwetu wanahitaji chakula. Biashara Haina chama, kabila Wala mipaka sote tunategemeana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…