Tanzania kwa sasa ndio ime-dominate biashara hapa EAC, ndiyo top export economy kuzidi nchi zote

Mkiendelea kuwa na akili itapanda zaidi ya hapo, tunahitaji sana malighafi (raw materials) hususan mahindi na sio kwa chakula tu hata viwandani, kwa taarifa zako punje ya mahindi inatumika kuzalisha aina nyingi sana ya bidhaa hapa Kenya.

56815275_303.jpg
 
Mkiendelea kuwa na akili itapanda zaidi ya hapo, tunahitaji sana malighafi (raw materials) hususan mahindi na sio kwa chakula tu hata viwandani, kwa taarifa zako punje ya mahindi inatumika kuzalisha aina nyingi sana ya bidhaa hapa Kenya....

56815275_303.jpg
Limeni sasa, hakuna kitu kibaya kama kutegemea kulishwa! Mtu akifunga mlango wake akapumzika unahisi kanuna unaanza kujiongelesha sebleni
 
Chakula kwa Kenya ni kwa ajili ya kuokoa maisha yenu, sio kwa ajili ya raw materials, " Tanzanian food is a matter of life and deaths for majority of Kunyans"
 
Halafu kuna mshikaji wangu alikua anafuata mbao na magogo Tanzania kitambo, alipiga hela sana jamaa enzi zile, sijamuona siku nyingi, itabidi Wakenya tuchangamkie hizi fursa, hawa watu wana ardhi kubwa ambapo kuna kila aina ya malighafi.

Vitalu vya madini ndio najua hatutapata maana tulichelewa, makaburu wa Afrika Kusini na Waarabu walishayahodhi na kujichukulia.

Tuanze kuamsha viwanda vyetu sasa malighafi ipo, ukizingatia hata DRC wanaingia kwenye jumuia ya EAC na liinchi lao lile, aisei mwendo wa kula kwa urefu wa kamba, au tukate kamba kabisa na kula kote.

Science_Goat-Problem_2600_Lede.jpg
 
Mkiendelea kuwa na akili itapanda zaidi ya hapo, tunahitaji sana malighafi (raw materials) hususan mahindi na sio kwa chakula tu hata viwandani, kwa taarifa zako punje ya mahindi inatumika kuzalisha aina nyingi sana ya bidhaa hapa Kenya.

56815275_303.jpg
Eti punje za mahindi zinazalisha aina nyingi ya bidhaa kenya [emoji16]. Ww jamaa bhana.
 
Najua hili ni somo nje ya uwezo wako, ila tafuta mtu akusaidie kuelewa nini maana ya corn by-product kwa mfano Elianto Corn Oil etc.
Over 90% ya mahindi toka Tanzania Hutumika katika kuzalisha unga kwa ajili ya matumizi ya binadamu hapo Kenya, "by products zake ndio Hutumika Kama "raw materials" hasa vyakula vya mifugo.
 
Limeni sasa, hakuna kitu kibaya kama kutegemea kulishwa! Mtu akifunga mlango wake akapumzika unahisi kanuna unaanza kujiongelesha sebleni
Kitu ambacho hamuelewi ni kwamba hatuwategemei nyinyi kwa chakula. Chakula tunacho chukua kutoka kwenu tunakinunua kwa cash, tena bei ya juu kuliko kama mkulima angeuza chakula hicho hapo Tanzania. Si msaada mnatufanyia, ni biashara kaka, na kama ilivyo kwa biashara its all about supply and demand.... Wakati ule JPM alileta kichwa kichwa biashara kati ya Kenya na TZ ilishuka hadi $180m (Sahii iko $1 Billion chini ya Mama), lakini si unga bado ulikua unapatikana Kenya? Uganda ndo walifaidi kwani tulikua tunanunua kutoka kwa, na Uganda walipopungukiwa tulinunua ziada kutoka Mexico na Brasil....
So hamuezi kutubabaisha na mahindi yenu, hata leo leo mkafunga mipaka, Kesho malori ya Uganda yatakua yamepiga foleni pale mpaka wa Uganda/Kenya yakingoja kuruhusiwa kuingia..... So nyinyi mshukuruni mama Samia kwa kua na akili timamu ya kugundua kwamba tit for tat nyingi zinaumiza wakulima na wanabiashara wa nchi zote mbili, mambo ya kujigamba kwa vitu vya upuzi na kuchoma vifaranga haisaidi mtu wa kawaida, ni sifa na kiki tu.... Biashara ni utulie nyamaze na uwache wananchi wachape kazi!
 
Kafrican

Habari ya mwaka mpya.
Umeongea mengi,
Lakini kuna politics and control in business. I think you are aware of gas business supplied by Russia to Western Europe.
 
Mwaka waendelea vizuri, nashukuru 🙏
ofcourse politics na godfather zao wako wanacontrol economies behind the scenes, hata mambo mengine tunaeza kua twajadili tukidhani ni diplomacy kati ya nchi mbili kumbe ni watu kadhaa serekalini wana shape policy za nchi ili zi favor biashara zao binafsi.... So i'm aware such things exists.
 
Kitu ambacho hamuelewi ni kwamba hatuwategemei nyinyi kwa chakula. Chakula tunacho chukua kutoka kwenu tunakinunua kwa cash, tena bei ya juu kuliko kama mkulima angeuza chakula hicho hapo Tanzania. Si msaada mnatufanyia, ni biashara kaka, na kama ilivyo kwa biashara its all about supply and demand.... Wakati ule JPM alileta kichwa kichwa biashara kati ya Kenya na TZ ilishuka hadi $180m (Sahii iko $1 Billion chini ya Mama), lakini si unga bado ulikua unapatikana Kenya? Uganda ndo walifaidi kwani tulikua tunanunua kutoka kwa, na Uganda walipopungukiwa tulinunua ziada kutoka Mexico na Brasil....
So hamuezi kutubabaisha na mahindi yenu, hata leo leo mkafunga mipaka, Kesho malori ya Uganda yatakua yamepiga foleni pale mpaka wa Uganda/Kenya yakingoja kuruhusiwa kuingia..... So nyinyi mshukuruni mama Samia kwa kua na akili timamu ya kugundua kwamba tit for tat nyingi zinaumiza wakulima na wanabiashara wa nchi zote mbili, mambo ya kujigamba kwa vitu vya upuzi na kuchoma vifaranga haisaidi mtu wa kawaida, ni sifa na kiki tu.... Biashara ni utulie nyamaze na uwache wananchi wachape kazi!
Nmekulewa vyema, Kufunga mipaka Kuwe na sababu za msingi sana lakini tofauti na hapo ni kujimaliza kiuchumi kwakua utawazorotesha wakulima na wafanyabiashara kwa ujumla...

Haijalishi kenya wanalima mahindi ama hawalimi kama sisi tunalima kazi yetu mi moja tu kulima mahindi yakutosha soko la ndani na nje...sio lazima kila mtu alimemahindi....Biashara ya kuuza mazao inawainua sana wakulima kanda ya kaskazini mwa Tz hasa ukiangalia kitakwimu ndio ukanda wenye wastani mzuri wa gdp per capital kuliko kanda zingine zote except ukanda wa pwani unaobebwa na dar
 
Uzuri kila kitu kiko wazi, kila mtu anaweza ku compare and contrast kati ya:
Vipindi tulivyokuwa tukifungiana hali ilikuwaje na sasa ushirikiano mzuri wa kibiashara hali ikoje. Kila mtu anajua faida na hasara ya kufungiana na kushirikiana. Binafsi nasema, kazi iendelee.
 
Eti punje za mahindi zinazalisha aina nyingi ya bidhaa kenya [emoji16]. Ww jamaa bhana.
Huwa anachekesha sana kwa maandishi yake ya kujifariji, tangu lini punje za mahindi zikawa na aina nyingi ya bidhaa Kenya tofauti na ugali while at the same time uchumi wao ni agricultural based[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nmekulewa vyema, Kufunga mipaka Kuwe na sababu za msingi sana lakini tofauti na hapo ni kujimaliza kiuchumi kwakua utawazorotesha wakulima na wafanyabiashara kwa ujumla...

Haijalishi kenya wanalima mahindi ama hawalimi kama sisi tunalima kazi yetu mi moja tu kulima mahindi yakutosha soko la ndani na nje...sio lazima kila mtu alimemahindi....Biashara ya kuuza mazao inawainua sana wakulima kanda ya kaskazini mwa Tz hasa ukiangalia kitakwimu ndio ukanda wenye wastani mzuri wa gdp per capital kuliko kanda zingine zote except ukanda wa pwani unaobebwa na dar

Dah! Safi sana, wee jamaa mbona umeadimika, hili jukwaa linahitaji walau hata na Mtanzania mmoja mmoja hivi mwenye kutumia akili......
 
Kitu ambacho hamuelewi ni kwamba hatuwategemei nyinyi kwa chakula. Chakula tunacho chukua kutoka kwenu tunakinunua kwa cash, tena bei ya juu kuliko kama mkulima angeuza chakula hicho hapo Tanzania. Si msaada mnatufanyia, ni biashara kaka, na kama ilivyo kwa biashara its all about supply and demand.... Wakati ule JPM alileta kichwa kichwa biashara kati ya Kenya na TZ ilishuka hadi $180m (Sahii iko $1 Billion chini ya Mama), lakini si unga bado ulikua unapatikana Kenya? Uganda ndo walifaidi kwani tulikua tunanunua kutoka kwa, na Uganda walipopungukiwa tulinunua ziada kutoka Mexico na Brasil....
So hamuezi kutubabaisha na mahindi yenu, hata leo leo mkafunga mipaka, Kesho malori ya Uganda yatakua yamepiga foleni pale mpaka wa Uganda/Kenya yakingoja kuruhusiwa kuingia..... So nyinyi mshukuruni mama Samia kwa kua na akili timamu ya kugundua kwamba tit for tat nyingi zinaumiza wakulima na wanabiashara wa nchi zote mbili, mambo ya kujigamba kwa vitu vya upuzi na kuchoma vifaranga haisaidi mtu wa kawaida, ni sifa na kiki tu.... Biashara ni utulie nyamaze na uwache wananchi wachape kazi!
Sasa hivi hata Uganda pia hununua chakula kutoka Tanzania kwasababu uzalishaji wao hauendani na mahitaji Yao, kuhusu kununua chakula toka nje ya Africa, "hiyo haiko "Sustainable", hiyo hutokea kama dharura, lakini huwezi tegemes chakula toka mbali kwa matumizi ya nchi nzima kwa mwaka mzima.

Tanzanian food is ready, easily and at cheaper than from other countries that's why GoK prefers to buy from Tanzania than any other country.

Katika biashara Kati ya Kenya na Tanzania, japo nchi zote zinafaidika, Kenya inafaidika zaidi, kwasababu Tanzania inapata pesa, lakini Kenya inaokoa maisha ya wananchi wake, Kati ya pesa na kuokoa roho za watu, kipi ni muhimu?, Kenya ndio mnapaswa kushukuru mama Samia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom