Tanzania kwa sasa ndio ime-dominate biashara hapa EAC, ndiyo top export economy kuzidi nchi zote

Who is a business man here,unajua over dependancy ya 1 Market(Country),is dangerous but at the same time sweet😕
Wacha tuone nani kawekwa kwapani😂
Wakulima wafurahie,lakini waombe vuguvugu lisitokee tena,
 
Wacha mdomo ww, you people are suffering from hunger any how whether your purchase it or not you will also be masikini jeuri EAC navile Congo keshokutwa inaingia EAC sahau kabisa. Nchi pekee EAC ambayo yaweza jitegemea hapa kwa chakila chakutosha ni Tanzania na Uganda kidogo wengine tulieni Kama mtori nyama ziko shini!
 
Who is a business man here,unajua over dependancy ya 1 Market(Country),is dangerous but at the same time sweet😕
Wacha tuone nani kawekwa kwapani😂
Wakulima wafurahie,lakini waombe vuguvugu lisitokee tena,

Raundi hii wakulima wao wataneemeka na sisi viwanda vyetu vitanufaika, it's a win-win.....
Hii itaendelea as long as mama atakua rais kabla chizi mwingine hajaukwaa urais.
 
Raundi hii wakulima wao wataneemeka na sisi viwanda vyetu vitanufaika, it's a win-win.....
Hii itaendelea as long as mama atakua rais kabla chizi mwingine hajaukwaa urais.
💯yes its a win win situation,lets hope ujirani uendelee kuneemeka
 
Sio win win ,Kenya ndiyo itaneemeka zaidi kwasababu maisha ya wakenya wengi yataokolewa, bila chakula toka Tanzania, wakenya wengi wangekufa kwa njaa.
nyinyi pia mtafaidika wakulima hawalimagi bure,lazima mazao yauzwe,nasisi KE ndio wananunuzi,tutafaidika wote kwasababu uchumi wenu utakua pia
 
Biashara kati ya Kenya na Tz, ina favor Tanzania kwakua Tz Ina export goods worth 500millUS$ while import only 400MillUS$, hongera watanzania kwa kuchapa kazi
Kazi nzuri ya Raisi tuliyenaye sasa.
Si lile kichaaa lililokufa.life na zaidi huko aridhini
 
Kwasasa Tanzania tunaongia katika export economy
 
Very good....[emoji109][emoji109], Mwenye Ako na akili ameelewa
 
Biashara kati ya Kenya na Tz, ina favor Tanzania kwakua Tz Ina export goods worth 500millUS$ while import only 400MillUS$, hongera watanzania kwa kuchapa kazi

Hongera.
As we all know, we are the US and you are our Mexico. 🤣 🤣
 
Eti punje za mahindi zinazalisha aina nyingi ya bidhaa kenya [emoji16]. Ww jamaa bhana.

Wanazalisha unga wa ugali, wanazalisha mafuta ya kula, pumba ni chakula cha mifugo na pumba ya mahindi inachanganywa na ya mpunga inazalisha mnaita singboard au ulijua ni chakula tu
 
Kenya anailisha sudani kusini kupitia mahindi ya tanzania pia
 
Reactions: Oii
Wanazalisha unga wa ugali, wanazalisha mafuta ya kula, pumba ni chakula cha mifugo na pumba ya mahindi inachanganywa na ya mpunga inazalisha mnaita singboard au ulijua ni chakula tu
No. I know abt that. Ninamjua uyu jamaa alivojibu ivyo alikuwa from which angle. Ndio maana nikawa nacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…