Tanzania kwa sasa ndio ime-dominate biashara hapa EAC, ndiyo top export economy kuzidi nchi zote

Viva EAC.
 
Very good....[emoji109][emoji109], Mwenye Ako na akili ameelewa
Kama kawaida yenu, Sasa Kati ya Kenya na Tanzania, nani anamtegea mwengine kwa biashara?, Tanzania soko letu kubwa la kuuza na kununua bidhaa zetu ni SADC, Kenya soko lenu kubwa ni lipi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soko lao kubwa la kuvizia vizia watakutajia brazil, watakutajia uganda, atakutajia sijui nchi gani hulo za kubabia babia, yani ikiingia meli imejaza gunia mara moja wanaitaja hiyo kama business partner, haka kajamaa Mk254 inaonekana kako tupu sana huko kenya halafu kila siku kako humu kuonesha utupu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…