Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Salama
Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua
Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni ya kizamani lakini mtu binafsi anamilikije kikundi cha watu wenye mafunzo na wakimaliza kazi yao hiyo ni kazi gani zingine wataendelea kufanya?
Inakuaje mtu anajiamulia mambo kama hivi na hachukuliwi hatua?