Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo karibia robo tatu ya watanzania, kwenye kupiga kura sisi ndio tunaamua nani atuongoze. Kuna siku tutaizunguka bongo yote tutaiweka mtu kati yani tutakua remote ya Tanzania yetu, I'm lake zonian.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahutu na watutsi walianza hivi hivi, naona mnaficha tu nyuso zenu ila huu ni vugu vugu la mvutano wa wachaga na wasukuma.
Yale yale ya rwanda huku nako wasukuma wanajiona walikuwa chini muda mrefu na kuona wachaga wanapendelewa likifanyika jambo tu unasikia propaganda ukaskazini, mara raisi hapaswi kutoka kaskazini mara mradi flani haupaswi kufanyika kaskazini, leo angeibuka mchaga akasema anapendekeza kichaga kiwe lugha ya taifa sijui hayo mashambulizi yake kama yangemuacha salama
Sisi wanyiramba mtuache na unyonge wetu tupigieni tu risasi viongozi wetu, wengine muwatumbue na wengine muwafukuze kwenye chama chenu. Tunyongeni muwezavyo
Pendekezo hilo ungelipeleka "nchi" ya kolomije au chattle ingependeza zaidi
... wenyewe kama wanaionea aibu vile! Ukutane na mimasai ni kimasai tu hata kama ni stendi in public wao wanapiga nondo tu; similarly to michaga na mihaya. Ila wasukuma sio kivile.Japo wasukuma ni wengi lugha yao wajaisambaza hoja ya mtoa mada haina mashiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tufanye lugha zitw 130 kuwa lugha rasmihahaha....... sasa naona mnataka kutupanda kichwani..... cheo ni dhamana ya muda tu mtatoka atakuja wa kabila lingine mtabaki kimyaaaaaaa.......
Hakika umenena, hii Lugha watu wengi wanaielewa ila basi tu, mfano wengine wanaimba nyimbo, IYENA IYENA wimbo ulioimbwa na Diamond, mwingine umeimbwa na marehemu Komba wa ccm, na neno lingine linatumika sana na watu utasikia, IMEKUA NONGWA!!
Daah! Basi hao ni fungakazi ndimi 12... isipokuwa India - 12 official languages.
safi mkuu, itangazwe kuwa ya 3 kisukuma hakina madharaNaunga mkono hoja Kisukuma kiwe lugha rasmi ya taifa maana hata Mh. Rais wetu siku moja moja huwa anatupia Kisukuma kwenye hotuba zake na sisi wananchi wanyenyekevu kwake tunamuelewa sana. Wabheja sana..
Hapana kufundishia itakuwa ngumu kwa sababu kuna baadhi ya maneno ni magumu sana kuyaandika, lakini kutamka ni rahisi sana.Mimi nilijifunza muda mfupi tu nikaelewa nikapata Na demi kwa urahisi.Dawa zinatakiwa zimezwe kwa umakini sana..
Tanzania ni nchi iliyo na makabila mengi sana hivyo ukifanya hivyo makabila mengine yatatutumka nayenyewe kutaka hivyo..haistahiri kuwa lugha ya taifa kwanza sidhani kama inajitosheleza kimsamiati niambie kompyuta inaitwaje kwa hiyo lugha,pia calculator,rimoti je.?
Mkuu italeta mtafaruku usio mantiki bora tuendelee na tz yetu maana ikitambuliwa mtataka pia iwe lugha ya kufundishia
Good 100%The Applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kisukuma!!!
Wewe unataka kuturudisha nyuma kama wasukuma walivyomsumbua Nyerere wakitaka lugha ya ndiyo iwe ya taifa na tuachane na kiswahili.usumbufu huo utajua madhara yake ukienda Zambia na Malawi.Wanajf hamjambo!
Kama swali hapo ambalo huwa najiuliza mara kwa mara , Leo nimeona niwaletee tujadili kidogo kama inafaa au haifai with ground reasons.
Ukifika South Africa wao wana lugha kama nane officially recognized baadhi ni kizulu, kisuthu, Xhosa, Afrikana, English, nk .
Ukifika katika ile wanaozaliana kama sangara wao wana English, Yoruba, Hausa, IBO nk zote ni officially recognized national language huko kwenye mji MKUBWA wenye msongamano wa magari Na wengi wa madereva wasio Na nidhamu.
Huko DR Congo kuna Lingala, Kikongo, Manyema , kifaransa nk ni officially recognized Language.
Je hapa Tz kwanini Lugha ya tatu isitambuliwe kuwa lugha 3 ambayo ndiyo lugha ya kiasili inayotumiwa na watz wengi na pia Watanzania wasio wa kabila hiyo wanaifahamu asilimia kubwa Na hata humu JF mtu akisema ngosha unaelewa tu.
Kwanini kisukuma kisiongezwe kiwe lugha ya tatu ya taifa letu? Tafadhali MAENDELEO haya Vyama!