Tanzania kwisha habari yetu hata misitu ya asili tunahitaji wawekezaji!

Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje.

Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama kutengeneza ndege, injini za mitambo na magari, programu za computa nk na hivyo tunalazimika kununua au kukodisha. Lakini hili la kukodisha watu kutoka nje kutunza misitu yetu limenishangaza!

Misitu yote ya asili imejiotea yenyewe na haihitaji kumwagiliwa wala kupaliliwa, yenyewe inasubiri mvua na kuendelea kukua. Wananchi wanaozunguka misitu hiyo wamekuwa wakiitunza chini ya uangalizi wa serikali kwa gharama ndogo sana.

Sasa je ni shetani gani amewaingilia viongozi wetu kuwakabidhi hekta milioni nane za misitu Waarabu wa Dubai waitunze. Ni zimwi gani hilo lisilo na jina limewaingia vichwani viongozi wetu kumkabidhi Mmarekani mmoja hekta milioni sita za misitu amiliki na kufanya biashara.

Kweli wananchi wanaozunguka misitu hiyo wameshindwa kuitunza na kufanya biashara? Maeneo mengi yanayozunguka misitu hiyo hawana madawati katika shule zao! Nyumba za wananchi ni mbavu za mbwa na bahati mbaya wakikutwa na mazao ya mbao adhabu wanazopewa hazielezeki!

Enyi viongozi wetu kuanzia Rais Samia oneni aibu! CCM oneni aibu! Wabunge mchongo nyie oneni aibu!
NCHI HII ITAWEKEZA KWA WAWEZEKAJI KTK KILA ENEO MPAKA MAHAKAMA
 
Waraabu ndio wataalam wa kutunza misitu mkuu, refer kule kwao arabuni palivyostawi ile misitu yao!!
 
Tatizo letu Watanganyika tunaongea ndio lkn tunaongelea kwenye keyboard tu
 
Hivi beat za wimbo wa Taifa ni zile zile? Siku nyingi sijausikia, nimeumiss.
 
Mkwe yuko maliasili mtoto yuko nishati, yaani uncle Abdully...[emoji12][emoji12][emoji12] Yaani tumepigwa majini na nchi kavu
 
Nchi ya kipumbavu sana na viongozi wapumbavu pia, misitu inaitaji mwekezaji ili iweje wakati imejiotea yenyewe, uyu mama sijui na wabambe wake ,ipo siku watanyongwa ,ni mda tu
Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje.

Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama kutengeneza ndege, injini za mitambo na magari, programu za computa nk na hivyo tunalazimika kununua au kukodisha. Lakini hili la kukodisha watu kutoka nje kutunza misitu yetu limenishangaza!

Misitu yote ya asili imejiotea yenyewe na haihitaji kumwagiliwa wala kupaliliwa, yenyewe inasubiri mvua na kuendelea kukua. Wananchi wanaozunguka misitu hiyo wamekuwa wakiitunza chini ya uangalizi wa serikali kwa gharama ndogo sana.

Sasa je ni shetani gani amewaingilia viongozi wetu kuwakabidhi hekta milioni nane za misitu Waarabu wa Dubai waitunze. Ni zimwi gani hilo lisilo na jina limewaingia vichwani viongozi wetu kumkabidhi Mmarekani mmoja hekta milioni sita za misitu amiliki na kufanya biashara.

Kweli wananchi wanaozunguka misitu hiyo wameshindwa kuitunza na kufanya biashara? Maeneo mengi yanayozunguka misitu hiyo hawana madawati katika shule zao! Nyumba za wananchi ni mbavu za mbwa na bahati mbaya wakikutwa na mazao ya mbao adhabu wanazopewa hazielezeki!

Enyi viongozi wetu kuanzia Rais Samia oneni aibu! CCM oneni aibu! Wabunge mchongo nyie oneni aibu!
Alafu mijitu inakenua meno, pumbavu
 
Pasipo kutenda Haki na kuendeleza uvivu na unafiki tusahau kuendelea... Sasa mtu anamwibia Mwenzie Kura kuna maendeleo hapo,,uwizi Ni Dhambi
 
Back
Top Bottom