I am new to Jamii forum and I thank you for accepting me to join in. Please help me with the following question:

I am a general manager in a company and have been since february 2010. My employer decided (without discussing it with me) in the meantime to make me do another job as a 'meet and greet' due to lack of employees. With this he has also decided not to pay half of the income I receive as a GM, saying i dont do my job well. Emplyer-Employee conflict.

What are my rights and does he have the right to make such descisions without any discussions?
Ndio anaruhusiwa lakini with payment kama extra duty allowances na kwa serikalini extra duty haitakiwi kuzidi siku 10 kwa mwezi na @day ni 30000/= kwa Afisa.Learned bro and sisters, naombeni msaada wenu. Kwa mujibu wa sheria za kazi, mwajiri anaweza kuongeza muda wa kufanya kazi mwajiriwa wake? MATHALANI, muda wa kutoka kazini kwa kawaida ni saa tisa na nusu mchana, je mwajiri anauwezo wa kuamua kuwa watumishi wawe wanatoka saa kumi na moja?
Ndugu Wanajamii,
Ninaona muamko wa kuzijua Sheria mpya za kazi uko juu sana,
Kwa hiyo nimeambatanisha tena sheria zote mbili,Kila mfanyakazi anayohaki ya kuzifahamu sheria za kazi ili msiburuzwe tu waajiri,
Asante,soma njema
wandugu, msihangaike kutafuta sheria. sheria zote za tz kuanzia mpya hadi za zamani, zipo kwenye website ya parliament of tz. nenda kule utaipata kwenye pdf. nashangaa wengine wanasema walikuwa wanatafuta sheria hizi, wakati ziko wazi sana, tena mno.
Tanzania tuna hitaji kubwa sana la maarifa ya sheria. Tatizo ni kwamba, watz wengi hatupendi kusoma. Pamoja na kuwa waajiriwa wana haki ya kpata nakala ya sheria hii na wananyimwa na waafiri wao, wao wenyewe hawana juhudi ya kuitafuta. Na hili sio tu kwa upande wa sheria bali ni kwa kila kitu. Watanzania wengi hatupendi kusoma, huo ndio ugonjwa mkubwa tulionao. Nachelea kuwa hata waajiri wakigawa hizi nakala wengi hawatasoma.