CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Hii ni kati ya documents anazopaswa kupewa mfanyakazi anapoajiriwa. Sasa sijui kama ndivyo hivyo.
Refer: Part III (Sub-part A), Section 16 of the Employment and Labour Relations Act, 2004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kati ya documents anazopaswa kupewa mfanyakazi anapoajiriwa. Sasa sijui kama ndivyo hivyo.
Ndugu Wanajamii,
Ninaona muamko wa kuzijua Sheria mpya za kazi uko juu sana,
Kwa hiyo nimeambatanisha tena sheria zote mbili,Kila mfanyakazi anayohaki ya kuzifahamu sheria za kazi ili msiburuzwe tu waajiri,
Asante,soma njema
View attachment 38898
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa waTz wazalendo mnaoipenda nchi yenu kwa kuwasaidia waTz ili wapate haki zao na pia waweze kufanya kazi katika mazingira mazuri na kwa kufuata sheria na taratibu.
Naomba msaada wenu;
Kuna non-Tz residents (actually makaburu) wanafanya kazi katika kampuni fulani (ni waajiriwa kama wabongo walivyoajiriwa kwenye kampuni hiyo); wanataka walete medical equipments toka Republic of South Africa lkn kuna medical equipments {both needing to be registered (requirement 1.6.2) and not needing registration (requirement 1.6.1), kulingana na guideline ya TFDA kwa namna nilivyosoma katika attachment hiyo hapo chini}.
Vile ambavyo si lazima viwe registered vinahitaji TFDA iwe notified (Article 1.6.1 4th paragraph), lkn hawa jamaa wamekurupuka na kusema wanataka walete vifaa hivyo.
Na kwa namna ninavyoona, kama mtu anataka kuleta medical equipments toka nje inabidi afuate requirement 1.1 & 1.2
Naomba ushauri wenu na mnirushie vifungu na policies/guidelines kadhaa!
NOTE:Hii guideline siioni tena kwenye website yenu ya TFDA
Ndani ya wiki chache zijazo vifaa vitaletwa (mnanishauri nifanyeje ili hata kama vinakuja tuwe tumefuata regulations/ guidelines) - vinginevyo itakula kwangu watu wa Wizarani na / au TFDA wakigundua tunaingiza vifaa bila utaratibu, kwa kuwa mimi nd'o niko answerable katika medical-related issues hapa.
Kuna Paramedics nd'o wanakurupuka na kutaka kuleta vitu bila utaratibu.
Hii itasaidia kuleta discipline na baadaye tunaweza kuwa tunaagiza humu nchini au hata kama ni nje watakuwa wanafuata utaratibu!
Pili:
Hiyo Guideline nimeona inahusu kama;
(a)Mtu anataka alete med. equipments ili afanye biashara, na mtu kama anataka kuleta med.equipments toka nchi zingine ili azitumie, anafanyaje?
(b)Kampuni inataka ilete med. equipments ili ifanye biashara, na kampuni kama inataka kuleta med.equipments toka nchi zingine ili izitumie, inafanyaje?
Au haijalishi kama ni kwa ajili ya biashara au matumizi?
Tatu:
Used medical equipments zinaruhusiwa kuingizwa nchini?
Na kama zinaruhusiwa kuna procedure yoyote ya kufuata?
Kama ipo ikoje,
(a)Kwa:
(i)Mtu anayetaka atumie kifaa/ vifaa hivyo used?
(ii)Kwa kampuni ambayo inataka itumie kifaa/ vifaa hivyo used?
(b)Kama hivyo vifaa vinataka vitolewe na mtu/ kampuni kama donation/ msaada kwa hospitali za serikali.
Natanguliza shukrani.
Dr. Ernesto Che Guevara-II
Check attachment.....
Kwanza tunatakiwa kufahamu kwamba kuna aina mbalimbali za leave ambazo zimeainishwa katika ELRA 2004.
Kuhusiana na masaa ya kufanya kazi ni kwamba katika wiki mmoja mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi kwa masaa yasiyozidi 45 na kama kutakuwa na overtime basi isizidi masaa 10 katika wiki hiyo. Hii ina maana kwamba kwa wiki ya kufanya kazi kwa siku tano basi utatakiwa kufanya kazi kwa masaa 9 kwa siku na kama una overtime basi isizidi masaa mawili.
- Annual Leave (Likizo ya mwaka) -28 consecutive days
- Sick Leave (Ugonjwa) - 126 days in any leave cycle i.e. 36 months
- Maternity Leave - 84 days and if twins 100 days
- Paternity Leave - 3 days (Within 7 days of the birth of child)
- Compassionate Leave - 4 days with pay
wandugu, msihangaike kutafuta sheria. sheria zote za tz kuanzia mpya hadi za zamani, zipo kwenye website ya parliament of tz. nenda kule utaipata kwenye pdf. nashangaa wengine wanasema walikuwa wanatafuta sheria hizi, wakati ziko wazi sana, tena mno.
Severance pay ni haki anayoipata mfanyakazi mara tu ajira inapokoma. Sifa ya kupata hiyo severance pay ni mpaka uwe umefanya kazi kwa muda wa mwaka au zaidi, na unalipwa si zaidi ya miaka kumi ktk utumishi wako. Kwa mshahala wa siku 7 kwa kila mwaka.
unapewa mama yuvaBado sijaelewa hapo, akiacha mwenyewe anapewa severance pay?
Ukiacha mwenyewe au kufukuzwa kwa makosa ya kinidhamu hupewi hiyo hela, hiyo utapewa tu endapo umeachishwa kutokana na uamuzi wa kampuni labda umepunguzwa kutokana na mahitaji ya ajira, au kampuni inafungwa.Bado sijaelewa hapo, akiacha mwenyewe anapewa severance pay?