Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Hii ni kati ya documents anazopaswa kupewa mfanyakazi anapoajiriwa. Sasa sijui kama ndivyo hivyo.

Refer: Part III (Sub-part A), Section 16 of the Employment and Labour Relations Act, 2004
 
Ndugu Wanajamii,

Ninaona muamko wa kuzijua Sheria mpya za kazi uko juu sana,

Kwa hiyo nimeambatanisha tena sheria zote mbili,Kila mfanyakazi anayohaki ya kuzifahamu sheria za kazi ili msiburuzwe tu waajiri,

Asante,soma njema

Ukijua sheria raha sana!

Kwa sababu unaweza ku-test kupata priviledge ambazo kisheria haustahili kuzipata,mwajiri akiwa hayuko makini unampiga bao.

Mfano unaweza kuwa una miezi mitatu kazini eg toka Oct-Dec, kisheria hautakiwi kupatiwa annual leave (ambayo ni paid leave, HATA KAMA mwajiri akikubali NI KOSA!), lkn unaweza kum-test mwajiri akupatie likizo ya siku 7.
Angalia Employment and Labour Relations Act. 2004; Part III (Sub-Part D), Section 29-30.
 
Nadhani tupo pazuri japo tunahitaji wajuzi wa sheria watusaidie kutuelimisha zaidi. Kuna mambo mengi sana yanahitaji ufafanuzi lakini wafanyakazo wengi hawayajui. Si unajua tena lugha ya kisheria is a bit complex!

Pamoja daima
 
Jaribu kuwasiliana na TFDA moja kwa moja.
Kwa kutumia njia za aina zote ili upate kujiridhisha.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY (TFDA)
P. O. BOX 77150
DAR ES SALAAM
TANZANIA​
Telephone: +255 22 2450512, 2450751, 2452108
Fax: +255 22 2450793
Mobile +255 78 7555527 or +255 75 4772220


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]General Information[/TD]
[TD]info@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Director General[/TD]
[TD]dg@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Directorate of Laboratory Services[/TD]
[TD]dls@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Directorate of Business support[/TD]
[TD]dbs@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Market Department[/TD]
[TD]pe@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Directorate of Food Safety [/TD]
[TD]dfs@tfda.org[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Directorate of Medicines and Cosmetics [/TD]
[TD]dmc@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Reporting Adverse Drug Reaction[/TD]
[TD]adr@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Management Information System department[/TD]
[TD]mis@tfda.or.tz[/TD]
[/TR]
[/TABLE]






 
habari za leo wanajamii Nasikia kuna sheria mpya za kazi zimetoka mwaka huu 2011 je kuna mtu mwenye nayo au anajua zilipo maana nimeangalia katika wesite ya wizara ya kazi tz sijapata.
Check attachment.....
 
Nasikia new regulation za kazi zimetoka, kama mtu anaweza kujua ilipo nitafurahi kupata.
 
Naitaji kufahamu kwa sheria za labour ni kifungu gani hutumika kwa makosa ya wizi, abseinteesim na poor perfomance kazini
 


Kwanza napenda kumshukuru mwana JF kwa kutuletea valuable document kama hii.
Pili namuomba kama inawezekana arudie ku-upload kwani nahitaji ku-download lakini mtandao unaeleza kuwa document damaged.

Sasa narudi hapo juu nilipo-bold, mimi nafanya kazi katika kiwanda kimoja hapa Dar es salaam. Tumekuwa na majadiliano yasiyokwisha kati ya waajiriwa na mwajiri juu ya muda wa kufanya kazi kwa siku. Kama ulivyoeleza hapo juu kuwa muda wa kazi ni saa 45 kwa wiki na mwajiri anaweza kuamua zifanywe kwa siku 5 au siku 6. Tatizo letu ni kuwa mwajiri anaondoa muda wa chakula na kusema kuwa hatuhesabiwi kuwa tupo kazini.

Kwa ufafanuzi, tunafanya kazi masaa 9 kwa siku na muda wa chakula ni dakika 30. Mwajiri anataka tufike kazini siku ya Jumamosi kwa masaa manne.
Je sheria ya kazi inasemaje ?, naomba msaada.
 
wandugu, msihangaike kutafuta sheria. sheria zote za tz kuanzia mpya hadi za zamani, zipo kwenye website ya parliament of tz. nenda kule utaipata kwenye pdf. nashangaa wengine wanasema walikuwa wanatafuta sheria hizi, wakati ziko wazi sana, tena mno.

Sio zote utapata kwenye bunge website. Au kuna namna ya kufanya kuzipata zote. Tuelimishane tafadhali.
 
Severance pay ni haki anayoipata mfanyakazi mara tu ajira inapokoma. Sifa ya kupata hiyo severance pay ni mpaka uwe umefanya kazi kwa muda wa mwaka au zaidi, na unalipwa si zaidi ya miaka kumi ktk utumishi wako. Kwa mshahala wa siku 7 kwa kila mwaka.

Bado sijaelewa hapo, akiacha mwenyewe anapewa severance pay?
 
Mkuu buswelu

Nimeangalia tovuti ya bunge ila kwa kweli nimeona maluweluwe maana pakupakua hizo sheria ni ukurasa gani kati ya zile kurasa nyingi nilizo ziona?

Samahani kwa maswali mengi zaidi nitakayo tuma kwako nikikwama...

Asante.
 
Mkuu,naomba kuuliza,nikiondoka sehemu ya kaz ya kampuni A,bila kuomba ruhusa,nikaenda kampuni B nyingine nikasini mkataba na nikaanza kazi,baada ya siku mbili nikatuma barua ya kuacha kazi kule kampuni A.Sheria inasemaje kama muajiri wa kampuni A adai kwamba nime abscond employment,na kuna vitu ananidai.
 
Bado sijaelewa hapo, akiacha mwenyewe anapewa severance pay?
Ukiacha mwenyewe au kufukuzwa kwa makosa ya kinidhamu hupewi hiyo hela, hiyo utapewa tu endapo umeachishwa kutokana na uamuzi wa kampuni labda umepunguzwa kutokana na mahitaji ya ajira, au kampuni inafungwa.
 
jamani wakuu tusaidieni sisi tunafaya kazi campini moja inaitwa four seasons safari lodgs serengeti tunatatizo kubwa sana tunafanyishwa kazi zaidi ya masaa ya kazi hatuna likizo tupo porini badala ya masaa 45 kwa week tunafanya masaa 63 na zaid kwa wiki je ni sawa.

Kwa swala la mishaara kimetangazwa kima cha chini wote tumekua levo moja je nisawa tunaomba msaada wako kisherea.na nialali kwa mwekezaji kuleta wafanya kazi toka nje ya nchi na kufanya kazi hata zile zisizo na na utalamu kwani hapa kwetu hata muosha viombo ametolewa morishiasi na analipwa ndola elfu tano mtanzania analipwa dola mia moja hamsini kwa mwezi na je nialali kuwa na ofisa mwajiri mzungu.
 
jamani wakuu tusaidieni sisi tunafaya kazi kapuni moja inaitwa four seasons saefari lodgs serengeti tunatatizo kubwa sana tunafanyishwa kazi zaidi ya masaa ya kazi hatuna likizo tupo porini badala ya masaa 45 kwa week tunafanya masaa 63 na zaid kwa wiki je ni sawa.

Kwa swala la mishaara kimetangazwa kima cha chini wote tumekua levo moja je nisawa tunaomba msaada wako kisherea.na nialali kwa mwekezaji kuleta wafanya kazi toka nje ya nchi na kufanya kazi hata zile zisizo na na utalamu kwani hapa kwetu hata muosha viombo ametolewa morishiasi na analipwa ndola elfu tano mtanzania analipwa dola mia moja hamsini kwa mwezi, na je nialali kuwa na ofisa mwajiri mzungu.
 
Mnaojua sheria za kazi, je mwajiri anaruhusiwa kumkata mfanyakazi wake mshahara kama adhabu ya kufidia hasara aliyoisababishia kampuni?
 
Mimi ni fundi mtu alinipa kazi mbili zinafanyika kwa wakati mmoja na wakati kaz zote zinaendelea akasimamisha moja na kusema tu.

malize mojawapo na tulipomaliza akasema ananisimamisha kazi na ela yangu ataki kulipa akisema nimechelewesha kaz ambayo awali alisema tusimamishe naweza kupata msaada wa vifungu vya sheria ya kaz vinavyonisaidia kupata haki yangu mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…