Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Kuna marekebisho ya sharia hii mwaka 2010 kiinua mgongo atalipwa mtu ambaye amepunguzwa kazi tu!
 
Buswelu,
Hongera sana kwa kuleta kitu cha maana sana,je inaweza kupatikana ya lugha ya kiswahili?
 
Unahitaji ushauri wowote wa Kisheria juu ya Labour Laws ama una kesi mahakamani please ni PM...
 
Habari,Naomba kuelimishwa kuhusu sheria ya kusimamishwa kazi ya Ualimu serikalini,ni haki gani anazipata mwajiriwa?
 

Mimi nilipo (institute) tunapewa. Likizo ya siku 24. Na kuingia kazini ni saa 8:00_4:30 Je ipo sahihi hii?
 

Hapa kwangu ndio balaa natamani nimtie makofi huyu dada d😱😱😱👊👊👊👊 anatupelekesha kazi hajui yaani utafikiri yupo nyumbani kwake xoom
 
Naomba kuuliza, katika kampuni niliyokuwa nafanya, mshahara ulikuwa $300, per month, Ila ghafla mwajiri akashusha mshahara mpaka $150, je kuna uhalali gani hapo, anasema hapati faida.
 
 
Severance pay ni haki anayoipata mfanyakazi mara tu ajira inapokoma. Sifa ya kupata hiyo severance pay ni mpaka uwe umefanya kazi kwa muda wa mwaka au zaidi, na unalipwa si zaidi ya miaka kumi ktk utumishi wako. Kwa mshahala wa siku 7 kwa kila mwaka.

Mkuu kama una uelewa mpana zaidi ebu nifafanulie hapo; kulipwa zaid ya miaka 10 na mshahara wa siku saba. Hiyo imekaaje hapo.
 
Habari wakuu mm naomba ufafanuzi wa muda wa kazi kifungu namba 19 (2) . (a) siku sita ndani ya wiki. (b)masaa 45 kwa wiki. (c)masaa 9 kwa wiki.
 
Habarini wana jamvi, Mimi nilipangiwa kituo cha kazi na sekreteriat ya ajira tangu February mwaka huu, nikaenda kureport nikambiwa nirudi nitapigiwa simu niambiwe lini niende kuanza kazi rasmi. Ukapita mwezi bila kupata taarifa, nilipompigia hr akanieleza kuwa sijapewa check no. Japo nimeshaajiriwa.

Naombe nielezwe , ctoweza kupoteza nafas hiyo? Je nitapata haki gani kwa muda nilokaa
 
Hakuna sheria inasema mwajiri lazima ampe mwajiriwa wake copy ya sheria ya kazi,ila ni lazima ampe mkataba ,ndani ya huo mkataba ndo kuna terms na conditions zilizome kwa hiyo sheria.
 
Umekwisha pewa mkataba wa kazi tayari mkuu,maana usije kua unasema umeajiriwa na mkataba hauna,kama ushapewa mkataba tayari,wajibu wa kutoa kazi anaomwajiri,kuwe kuna kazi au hakuna unapaswa kulipa,kama watakunyima kazi wanapaswa kukulipa ,maana kwanza unakua usumbufu labda ndani ya huo muda ungeweza kua ushapata kazi sehemu nyingine.
 
Hata mimi nina mdogo wangu alipangiwa kituo na utumishi ila alipoenda kuripoti wakampa mkataba wa kazi na kumwambia arudi watampigia mpaka sasa ni miezi 2 imepita yupo tu hapa nyumbani kwangu na kazi aliyokuwa anafanya mwanzo aliacha ili ajiunge huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…