πππ sikia mwengineπππKenya's debts are high interest commercial while Tanzania's debts are soft loans at low interest.
Kwenye kukopa cha kwanza kuangalia ni riba. Tz inadaiwa zaidi na WB, AFDB, etc na taasisi kubwa huwa zinatoa riba nzuri less than 3% na huwa kuna ushindani kwenye kupata mkopo. So this is good news. Ukiona mnakopa sana ndani ujue miradi yenu inakosa ushindani kupata mkopo kwenye taasisi kubwa za kukopesha nchi. Hivi kuna bank gani ya ndani itakataa kuikopesha serikali? Gvt bonds huwa zinagombaniwa kama njugu. It is said ni almost risk free kuikopesha serikali hasa ya nchi kama Tz ambayo toka uhuru ina amani na smooth handling of power and a constant economy growth of over 7% for the last decade. Hapa mnashangilia ujinga tu
Hahaha
kama pesa ipo ulitaka tufanyeje kama kukopa tutakopa kwenye miradi mingine lakini mega projects zote tutatumia internal sourceππππhahahaha wanajenga reli bila mkopo etiππππ...kama kuna mtu baradhuli barani africa, ni mtz
Haelewi kitu huyu. Kichwa kimejaa kinyesi.ππUlitoka ile thread yako ya battle kutuletea ufala hapa..hivi unaelewa internal na external
leo naona mapovu yamekuzidia umeamua kuyatapika tuπππππwatu wa emergency landingπππππ
nioneshe kua 60% debt to GDP ratio ya kenya ni internal source na ukinionesha nitag hapa nasubiria leo nikufundishe vzr kuhusu uchumiUlitoka ile thread yako ya battle kutuletea ufala hapa..hivi unaelewa internal na external
huwez amini wamefika red line yani debt to GDP ratio is 60% alaf bado wanataka mikopo hehehππHahaha
The cartoon you're quoting doesn't compare Kenya's debt to Tanzania's debt. Kenya's debt is growing very fast but Tanzania's debt is worse. πππ
Mmeonywa siyo na JF members ata na wachumi wabobezi na taasisi za kifedha. Kopa ila ukiwa na kikomo na kuangalia riba na sababu ya kukopa. Ningefurahi zaidi kama unge chambua nilicho andika tuka tililika kwa style hiyo siyo kuni hamisha.Initially mlikua mnatucheka tunakopa, sasa hivi mnajifanya vile mnakopeshwa. Nyinyi ni wa kuhurumia tu.ππ
mutalipa madeni mpaka yesu ashukeπππUlitoka ile thread yako ya battle kutuletea ufala hapa..hivi unaelewa internal na external
πππππ alaf engineer mpiga rangi anakwambia internal debt yani sijui kama kichwani mwake hakuna mavi ya bata
Kenya external debt to GDP 58%
Tunaongelea External debt, wewe unatuletea Total debt. Watu watatoa povu leo kweli heheheππ
Kenya external debt to GDP 58%
Tumekopa nje 29.7% of our GDP. Mmekopa nje 38.8% of your GDP. Hivi kulingana nawe nani ana kibarua kigumu cha kulipa deni?πππMmeonywa siyo na JF members ata na wachumi wabobezi na taasisi za kifedha. Kopa ila ukiwa na kikomo na kuangalia riba na sababu ya kukopa. Ningefurahi zaidi kama unge chambua nilicho andika tuka tililika kwa style hiyo siyo kuni hamisha.