Tanzania leads East Africa With External Debt at 38.8% of GDP. Kenya Comes in Second at 29.7%

Tanzania leads East Africa With External Debt at 38.8% of GDP. Kenya Comes in Second at 29.7%

CC: ichoboy01 njoo u explain deni hili...unapenda kuimba sana mkopo mkopo mkopo
hehehhe nchi haina pesa 😀😀😀😀😀
madeni yamewachuna ngozi😛😛😛
debt to GDP ratio 60% alaf unanitag hehehe
521D03B7-C93B-44ED-9FFF-3DCC25931152.jpeg
 
Kwenye kukopa cha kwanza kuangalia ni riba. Tz inadaiwa zaidi na WB, AFDB, etc na taasisi kubwa huwa zinatoa riba nzuri less than 3% na huwa kuna ushindani kwenye kupata mkopo. So this is good news. Ukiona mnakopa sana ndani ujue miradi yenu inakosa ushindani kupata mkopo kwenye taasisi kubwa za kukopesha nchi. Hivi kuna bank gani ya ndani itakataa kuikopesha serikali? Gvt bonds huwa zinagombaniwa kama njugu. It is said ni almost risk free kuikopesha serikali hasa ya nchi kama Tz ambayo toka uhuru ina amani na smooth handling of power and a constant economy growth of over 7% for the last decade. Hapa mnashangilia ujinga tu

Initially mlikua mnatucheka tunakopa, sasa hivi mnajifanya vile mnakopeshwa. Nyinyi ni wa kuhurumia tu.😀😀
 
hahahaha wanajenga reli bila mkopo eti😀😀😀😀...kama kuna mtu baradhuli barani africa, ni mtz
kama pesa ipo ulitaka tufanyeje kama kukopa tutakopa kwenye miradi mingine lakini mega projects zote tutatumia internal source😀😀😀😀
 
huwez amini wamefika red line yani debt to GDP ratio is 60% alaf bado wanataka mikopo heheh😀😀
alaf anataka kufananisha na tanzania😛😛😛
nimecheka sana anajifanya engineer huku kichwa kimejaa pamba na mizoga
 
Initially mlikua mnatucheka tunakopa, sasa hivi mnajifanya vile mnakopeshwa. Nyinyi ni wa kuhurumia tu.😀😀
Mmeonywa siyo na JF members ata na wachumi wabobezi na taasisi za kifedha. Kopa ila ukiwa na kikomo na kuangalia riba na sababu ya kukopa. Ningefurahi zaidi kama unge chambua nilicho andika tuka tililika kwa style hiyo siyo kuni hamisha.
 
Tumekopa nje 29.7% of our GDP. Mmekopa nje 38.8% of your GDP. Hivi kulingana nawe nani ana kibarua kigumu cha kulipa deni?😀😀😀
 
Back
Top Bottom