Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

Haileti mantiki kwa Tanzania kufungiwa licha ya kwamba ndio nchi pekee dunia yote iliyopona corona, haipaswi kuzuiwa kuingia popote pale.

Kwa Kenya inaeleweka hata tukizuiwa maana namba za waathirika bado zinapandisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania watakubalishwa kuingia US & EU mungu akirudi.
Remittances zitashuka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania watakubalishwa kuingia US & EU mungu akirudi.
Remittances zitashuka sana
Our forefathers never tailored our system to Europe or US,na ndio maana Rais wetu hana mpango wakwenda huko,ndio maana anawaita "mabeberu"mchana kweupe,najua hakuna Rais wakenya amabye amewahi na hatawahi kutamka hilo neno kwenye jukwaa,japo wanawapapasa!
 
Punguza fikra za kitoto wewe. Hatujaomba kwenda Kwa mtu coz we are self xistent n tunajitosheleza in all areas. Sisi kuenda kule comes with little if no benefits but them coming to us means that tourism is gon prosper. We ain't landlocked, we don't do what is of no benefits to us, no wonder that news was too minor to catch attentions of tzdians, however, Kenya inakaa kama imewabamba Sana Sisi kumiss kwenye list
 
Wahache wahende zao ulaya wakafundishwe kua machoko, sisi tutapambana kuijenga nchi yetu iwe zaidi ya ulaya ili na wenyewe wakitaka kuja kwetu wawe na heshima
 
Hii habari ni ya kuipuuza kabisa, mtoa post wewe hujui lolote.
Mimi tayari nina visa ya ulaya. Acha uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…