Kwahiyo wewe unasema Kenya sababu ya kirusi na Tanzania je sababu ya nini?, Sisi wanatujua vizur hatuwashobokei Kwanza Watanzania sio wazurulaji kama Kenya kwahiyo haina madhara hata kama hatujachaguliwa ila ninyi munaojifanya kuwakumbatia wenzenu wamewatema sasa cjui hiko kingereza chenu mutabonga na nani ,kuna nchi kibao zinazo maambukizi na zimetajwa
Sote tumepigwa ban sababu ya kirusi.
Tatizo si kupigwa sisi ban tu ila hata utalii ndiyo hivyo tena. Au sivyo mkuu?
Kwa vile hii itakuwa tunakuwa reviewed kila baada ya wiki mbili, huoni pana hatari ya kuwa yale ya kuja kuchekana mwisho kwa mwendo huu?
Nadhani Kenyatta alikuwa na hoja. Adui yetu ni kirusi. Hatuna sababu ya kuchekana nadhani kwa sababu ya kirusi. Au siyo mkuu?