Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

Hivi hata Trump na wananchi wake wa USA marufuku kuingia Europe?
Hehehe, Muungano wa EU kweli umejaa ujinga tupu..Ndio maana UK walijitoa humo(Brexit)
Mkuu huyu jamaa ni mwongo sana. Habari yake haina ukweli wowote. Hawa wakenya sijui wakoje aise!

Amepost vile anavyojisikia.
 
EbDOSS0WkAIrw9l
Hawa WAKENYA ni hodari Sana kupika data. Hii hawajasoma, Au KLM ni Nakuru?
 
Punguza fikra za kitoto wewe. Hatujaomba kwenda Kwa mtu coz we are self xistent n tunajitosheleza in all areas. Sisi kuenda kule comes with little if no benefits but them coming to us means that tourism is gon prosper. We ain't landlocked, we don't do what is of no benefits to us, no wonder that news was too minor to catch attentions of tzdians, however, Kenya inakaa kama imewabamba Sana Sisi kumiss kwenye list
Hata wenyewe hawapo kwenye list.
 
Ila JIWE alikosea saana aise yani hata hakuwajibu USA dah huyu jamaa kweli hapangiwi
MK254,

Yani wewe mkenya huwajui watz! Sisi hatuthamini kwenda huko urop ndiyo maana hata magu alipiga marufuku viongozi kwenda ovyo ovyo, sasa ukumbuke USA iliweka vikwazo mfu eti baadi ya viongozi wasiingie USA hata hatukuwajibu ni sawa sawa na kumnyima mbuzi samaki ukaona umemnyima chakula. Ndivyo hata wangesema wamemzuia magu kukanyaga USA tusinge poteza muda kuwajibu maana raisi wetu mwenyewe hana time na kwenda USA wala Ulaya
 
Sioni tatizo, kwa miezi mitano hakukuwa na raia wakwenda huko na hakukuwa na athari, licha ya hivyo Tanzania ina raia 50+M, ukute wanaoenda huko ni 1M nao sidhani kama wanafika.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sipati picha Wakenya wangeruhusiwa, humu JF nyuzi zingefika 100,0000
 
Pale ambapo mwafrika aitwaye UNCLE TOM alipojikana mezani kwa MASTER wake wazungu waliokuwa wengi pale mezani. Pale ambapo mwafrika huyo anacheza NGOMA isiyomuhusu na akataka waafrika WENZAKE waicheze.

Narejea hv...COVID 19 IS WESTERN AGENDA TO TERRORIZE THE WORLD PURPOSELY.
TIME WILL TELL

MK254
 
Kuna kipindi Mh. Jakaya Kikwete alikataa kupeleka Askari wetu KWENDA Somalia kupigana na magaidi Al Shabab.
Alisema hawezi kuingiza nchi katika Jambo lisilomuhusu.

Aliogopa na tuliogopa Kariakoo yetu kuwa inalipuliwa kwa sababu zisizokuwa mashiko. Kenya walikubali KWENDA kwa sababu ya AHADI ZA MISAADA KUTOKA AMERIKA.
 
Nyinyi wakujipendekeza kwa wazungu ndiyo mtapata shida sana. Sisi hatuna habari nao hao mabeberu!
Unategemea nini kwa raia ambao Rais wao mh.Uhuru Kenyatta analalamika kuwa wamezidi kwa WIZI NA KUPENDA MAPESA MENGI YA SHORTCUTS.

Binafsi Nina MARAFIKI wengi wa Kenya, ila SITAKI kuwa na HATA mmoja kutoka NIGERIA.
 
Kwa mawazo yangu haina Mantiki kusema mtu anayetoka Tanzania asiende Europe ili hali ni swala la kidiplomasia. Mbona poa tu hata hapa kwetu ni bora sana kuliko huko kunakosifiwa.Mkaataa kwa ni mtumwa. Tuache kudharau vya kwetu na kutukuza vya watu.
 
Our forefathers never tailored our system to Europe or US,na ndio maana Rais wetu hana mpango wakwenda huko,ndio maana anawaita "mabeberu"mchana kweupe, najua hakuna Rais wa Kenya ambaye amewahi na hatawahi kutamka hilo neno kwenye jukwaa, japo wanawapapasa!
LOL kila siku serikali inawatukuna mabeberu kwenye majukwaa lakini hawakomi kutohonga mipesa ya bure kila siku

Leo wametuhonga nusu trillion 😅😅😅😅
 
Unachekesha, kwa mwezi zinauzwa tanzanite zenye thamani ya zaidi ya million 10 $ na wananchi wa kawaida tu.
Magu anapiga siasa za reelection na hii ya $3m
Ila tunajua Tanzania ni shitholest country hapa EAC wakiwa na Burundi
 
Ila wakenya ni wajinga mno! Huwa wanaona sana fahari kutawaliwa na mzungu!

Mijitu nyumbu kweli hii.
 
Back
Top Bottom