Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

Hivi hata Trump na wananchi wake wa USA marufuku kuingia Europe?
Hehehe, Muungano wa EU kweli umejaa ujinga tupu..Ndio maana UK walijitoa humo(Brexit)
Mkuu huyu jamaa ni mwongo sana. Habari yake haina ukweli wowote. Hawa wakenya sijui wakoje aise!

Amepost vile anavyojisikia.
 
Hata wenyewe hawapo kwenye list.
 
Ila JIWE alikosea saana aise yani hata hakuwajibu USA dah huyu jamaa kweli hapangiwi
 
Sioni tatizo, kwa miezi mitano hakukuwa na raia wakwenda huko na hakukuwa na athari, licha ya hivyo Tanzania ina raia 50+M, ukute wanaoenda huko ni 1M nao sidhani kama wanafika.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sipati picha Wakenya wangeruhusiwa, humu JF nyuzi zingefika 100,0000
 
Pale ambapo mwafrika aitwaye UNCLE TOM alipojikana mezani kwa MASTER wake wazungu waliokuwa wengi pale mezani. Pale ambapo mwafrika huyo anacheza NGOMA isiyomuhusu na akataka waafrika WENZAKE waicheze.

Narejea hv...COVID 19 IS WESTERN AGENDA TO TERRORIZE THE WORLD PURPOSELY.
TIME WILL TELL

MK254
 
Kuna kipindi Mh. Jakaya Kikwete alikataa kupeleka Askari wetu KWENDA Somalia kupigana na magaidi Al Shabab.
Alisema hawezi kuingiza nchi katika Jambo lisilomuhusu.

Aliogopa na tuliogopa Kariakoo yetu kuwa inalipuliwa kwa sababu zisizokuwa mashiko. Kenya walikubali KWENDA kwa sababu ya AHADI ZA MISAADA KUTOKA AMERIKA.
 
Nyinyi wakujipendekeza kwa wazungu ndiyo mtapata shida sana. Sisi hatuna habari nao hao mabeberu!
Unategemea nini kwa raia ambao Rais wao mh.Uhuru Kenyatta analalamika kuwa wamezidi kwa WIZI NA KUPENDA MAPESA MENGI YA SHORTCUTS.

Binafsi Nina MARAFIKI wengi wa Kenya, ila SITAKI kuwa na HATA mmoja kutoka NIGERIA.
 
Kwa mawazo yangu haina Mantiki kusema mtu anayetoka Tanzania asiende Europe ili hali ni swala la kidiplomasia. Mbona poa tu hata hapa kwetu ni bora sana kuliko huko kunakosifiwa.Mkaataa kwa ni mtumwa. Tuache kudharau vya kwetu na kutukuza vya watu.
 
LOL kila siku serikali inawatukuna mabeberu kwenye majukwaa lakini hawakomi kutohonga mipesa ya bure kila siku

Leo wametuhonga nusu trillion πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unachekesha, kwa mwezi zinauzwa tanzanite zenye thamani ya zaidi ya million 10 $ na wananchi wa kawaida tu.
Magu anapiga siasa za reelection na hii ya $3m
Ila tunajua Tanzania ni shitholest country hapa EAC wakiwa na Burundi
 
Ila wakenya ni wajinga mno! Huwa wanaona sana fahari kutawaliwa na mzungu!

Mijitu nyumbu kweli hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…