Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Pole unafananisha biashara na kamali kweli wewe pungu two unazani ukiwa na kitalu watu wakisema sejapata kitu unazan ndio kapunwa anakua amepata ila ya ela ndogo ndogo watu wa kule hizi million haziwapigi chenga pimbi wewe.Hii ni kama jackpot ya sportpesa. Sio kila MTU atapata.
Sio peponi peponi kwao hahahahaMK254 itakuwaje sasa jirani zetu wakenya mmezuiwa kwenda "peponi"?
Hio unaita kamali imesponsor ligi Tz ugenini, sijui Tanzanite imefanya gani?Pole unafananisha biashara na kamali kweli wewe pungu two unazan ukiwa na kitalu watu wakisema sejapata kitu unazan ndio kapunwa anakua amepata ila ya ela ndogo ndogo watu wa kule hizi million haziwapigi chenga pimbi wewe.
Hawa akili zao ukiwa kalibu na mzungu unatengeneza many employment na thamani ya pesa kuwa juu, kumbe hawajui thamani ya pesa pekeyake haitoshi maana matumizi yaleyale tu wewe kama una pesa ndogo unazo tu na kama una nyingi ndio unazo tu hamna kinachobadilika mfano mfupi wanadai pesa zetu za madafu ila bosi wa Bongo mwenye pesa za madafu bado hawawezi kumfikia na pesa zao zenye thaman sasa si upumbavu huu uliokithiri, kuna haja gani sasa ya kulingia thamani ya pesa.Ila Wakenya ni wajinga mno!
Huwa wanaona sana fahari kutawaliwa na mzungu!
Mijitu nyumbu kweli hii.
Wenyewe pamoja na kulamba miguu na kula vinyesi vya wazungu hawapo kwenye list, kwa hakika vya bure ni utumwa!Punguza fikra za kitoto wewe. Hatujaomba kwenda Kwa mtu coz we are self xistent n tunajitosheleza in all areas. Sisi kuenda kule comes with little if no benefits but them coming to us means that tourism is gon prosper. We ain't landlocked, we don't do what is of no benefits to us, no wonder that news was too minor to catch attentions of tzdians, however, Kenya inakaa kama imewabamba Sana Sisi kumiss kwenye list
Wanaujanja wa kuendelea na lockdown? jeuri ya yao ni vyabure vikiisha tu watajifungulia bila kuambiwa.We si undelee na lockdown huko kwenu?ya TZ yaache hatuna mpango kwenda huko kwanza presidaa wetu ana mwaka wa 5 yupo hapa hapa na mambo yanakwenda.Kwani nani ana lilia kwenda ulaya huku.Endeleeni na mambo yenu tuache na yetu
endeleeni kuhemea vya bure, mtadhalilika shaurizenu! failed state, karne hii bado mnao uhuru wa bendera tu, maamuzi yote juu ya kenya yanatoka Europe na ndiyo maana mnawaona kama miungu watu, POLENI MAJIRANI WANAFIKI.Poleni waswahili mazee dah. Hata baada ya kupona korona beberu bado anawapumulia tu!😂
Mnapandisha Hadi wapiHaileti mantiki kwa Tanzania kufungiwa licha ya kwamba ndio nchi pekee dunia yote iliyopona corona, haipaswi kuzuiwa kuingia popote pale.
Kwa Kenya inaeleweka hata tukizuiwa maana namba za waathirika bado zinapandisha.
Hahahaha natumia fasihi , c unajua wenzetu wapo karibu Sana na wazungu mpaka lugha yao ya taifa kingereza sasa hata kama hawajatajwa kataenda hawatojulikana kama wakenya Kwa kua wanabonga kingerezaUnaisoma Kenya tokea katika list ipi mkuu?
Mtu mwenye akili timamu unawezaje kusafiri kuelekea kule ambako kuna shida, ukitokea kule ambako hakuna shida?Kwa Kenya kutokuwemo kwenye hii orodha inaeleweka maana hali sio nzuri, hatufichi maradhi na tumekubali tunacho kirusi na tunapambana, hivyo kwa sasa inaleta mantiki kwa sisi kuzuiwa kuingia popote, ila kwa wenzetu Tanzania wao wameng'ang'ania kwamba ndio taifa pekee dunia lisilo na tatizo la corona lakini hata hivyo wamewekewa ukuta hakuna raia wao ataruhusiwa kuingia bara Uropa, dunia imeanza kufungua milango kwa mataifa ambayo yamethihirisha uwezo wa kupambana na sio wale waliojichokea.
Hongera kwa Uganda na Rwanda, wamepambana vilivyo ukizingatia wao waliweka full lockdown, hatua hizo zimezaa matunda maana kirusi wamekidhibiti kwa njia za kisayansi. Sisi tuendelee na mapambano, pima pima pima, tutafaulu tu hivi karibuni.
=======
Draft List of Countries Permitted to Enter EU When Borders Reopen on July 1
June 23, 2020
The citizens of 54 world countries will benefit from the reopening of the European Union external borders, which is expected to happen by the beginning of July.
According to sources of Euronews, EU officials failed to agree on a common list of the countries that would definitely be banned from entering the block upon the border reopening but managed to create a list of the countries with a better epidemiological situation, the citizens of which will be able to enter Europe by the end of next week.
The same sources have also confirmed that citizens of Brazil, Qatar, the US and Russia will only be able to enter Europe at a later date when the epidemiological situation in these countries improves.
Nationals of the following countries are listed in this draft list:
“The European Union has an internal process to determine from which countries it would be safe to accept travellers,” EU Commission spokesman Eric Mamer said last Thursday, adding that its decisions are “based on health criteria.”
- Albania
- Algeria
- Andorra
- Angola
- Australia
- Bahamas
- Bhutan
- Bosnia and Herzegovina
- Canada
- China
- Costa Rica
- Cuba
- Democratic People’s Republic of Korea
- Dominica
- Egypt
- Ethiopia
- Georgia
- Guyana
- India
- Indonesia
- Jamaica
- Japan
- Kazakhstan
- Kosovo
- Lebanon
- Mauritius
- Monaco
- Mongolia
- Montenegro
- Morocco
- Mozambique
- Myanmar
- Namibia
- New Zealand
- Nicaragua
- Palau
- Paraguay
- Rwanda
- Saint Lucia
- Serbia
- South Korea
- Tajikistan
- Thailand
- Tunisia
- Turkey
- Turkmenistan
- Uganda
- Ukraine
- Uruguay
- Uzbekistan
- Vatican City
- Venezuela
- Vietnam
- Zambia
On June 11, the Commission presented its recommendation on the reopening of internal Schengen borders on June 15, so that Europeans can travel within the borderless area freely, just as they did pre-pandemic.
At the same time, the Commission recommended that the Member States should start allowing third-country nationals to enter the EU starting from July 1, gradually and partially, based on the epidemiological situation in each third-country.
The Commission recommended the following objective criteria for the Member States, when drafting the list of countries, the citizens of which may visit the EU after July 1:
Based on these conditions, the Commission recommended that the nationals of the six Western Balkan countries should be the first to benefit from the abolishment of travel restrictions, all of which are in the above list.
- epidemiological situation and coronavirus response in that country,
- the ability to apply containment measures during travel, an
- whether or not that country has lifted travel restrictions towards the EU.
Source: SchengenVisaInfo.com
Hahahaha natumia fasihi , c unajua wenzetu wapo karibu Sana na wazungu mpaka lugha yao ya taifa kingereza sasa hata kama hawajatajwa kataenda hawatojulikana kama wakenya Kwa kua wanabonga kingereza
Mtu mwenye akili timamu unawezaje kusafiri kuelekea kule ambako kuna shida, ukitokea kule ambako hakuna shida?
Kwahiyo wewe unasema Kenya sababu ya kirusi na Tanzania je sababu ya nini?, Sisi wanatujua vizur hatuwashobokei Kwanza Watanzania sio wazurulaji kama Kenya kwahiyo haina madhara hata kama hatujachaguliwa ila ninyi munaojifanya kuwakumbatia wenzenu wamewatema sasa cjui hiko kingereza chenu mutabonga na nani ,kuna nchi kibao zinazo maambukizi na zimetajwaNinakuwa na taabu kidogo na u mashiko kwa hii fasihi yako mkuu, kwani mleta mada amekuwa wazi na tena kwenye sentensi ya mwanzo kabisa:
View attachment 1494187
Sasa hii fasihi yako siyo inashindwa kusimama mithili ya gunia tupu mkuu?
Kwan Kenya wana maambukizi mengi kushinda misri ? Sema tu Kenya hawana umuhimu, mzigo, njaa Kali, wanajipendekeza sana Kwa wazungu ndio maana wametemwaKwahiyo wewe unasema Kenya sababu ya kirusi na Tanzania je sababu ya nini?, Sisi wanatujua vizur hatuwashobokei Kwanza Watanzania sio wazurulaji kama Kenya kwahiyo haina madhara hata kama hatujachaguliwa ila ninyi munaojifanya kuwakumbatia wenzenu wamewatema sasa cjui hiko kingereza chenu mutabonga na nani ,kuna nchi kibao zinazo maambukizi na zimetajwa
Umesahau NAIROBI THE GREEN SHIT IN THE SLUMMagu anapiga siasa za reelection na hii ya $3m
Ila tunajua Tanzania ni shitholest country hapa EAC wakiwa na Burundi