Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

Kenya and British troop train together before being deployed to Somalia and Afghanistan respectively
 
Bado idadi ya wanajeshi Kenya ni chini ya 30,000 hadi kufikia sasa. Unabwabwaja bila takwimu zozote zaidi ya kuleta picha zisizohusika.
 
Acha hadithi za lila na fila na wewe.Ushamba unayo kutoka mbeya.JWTZ ni aibu gani hiyo.....Kenya no 75 worldwide while Danganyika is 97.....Aibu gani

Na bado mmeshindwa kuwaondoa alshabab😀, aisee nyie viumbe hamuishagi vituko😀
 
Unaelewa maana ya kushinda??
Nikupe swali? Timu yako sijui Yanga ikipigwa mabao 7 na simba kipindi cha kwanza kisha wakirudi yanga ifunge mabao 10 ndio utasema simba ilishinda?? Mambo kama hayo hufanyika kwenye vita lakini unavyoreact after ndio muhimu.
 
vijana wenu ndo wamejaa somalia wakipigana jihad
Siku zote mkishashindwa huwa hamkosi vijisababu vya kitoto kabisa. Kwahiyo hao vijana ndio wanaowazuia nyinyi kuwasambaratisha hao wavaa chacha? 😀
 
Siku zote mkishashindwa huwa hamkosi vijisababu vya kitoto kabisa. Kwahiyo hao vijana ndio wanaowazuia nyinyi kuwasambaratisha hao wavaa chacha? 😀
The point is nyinyi kaeni tu bila kukabiki itikadi kali za kidini. The moment vijana wenu wamerudi from somalia na wakaanza another jihad front on Tanzanian soil ndio mtachekea jehanam
 
SO petty...they never cross my mind these days esp when I discovered they have mashed potatoes in between their ears.....

Be careful dude, this platform isn't for making insults, control your anger please, not every Tanzania falls in that category
 
The point is nyinyi kaeni tu bila kukabiki itikadi kali za kidini. The moment vijana wenu wamerudi from somalia na wakaanza another jihad front on Tanzanian soil ndio mtachekea jehanam
Badala ya kujiona mpo juu wakati hamna lolote, mngeenda Ethiopia kujifunza namna wanavyowadhibiti Al-Shabaab kushambulia Ethiopia.Mmekazana tu na sifa za kijinga wakati ulinzi wenu ni dhaifu.
Could Kenya Learn From Ethiopia's Anti-terror Strategy?
 
Incidence kama hizo zipo kwa kiasi gani na mara ngapi?
 
Habari ya zamani na picha za lini? Wakenya hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…