Na nyinyi bado mjishasha na kiswahili get a life this is the 21 century and FYI almost everyone in kenya is multi-lingual.
Achana na hao wala Albino.There is nothing new they ever bring aboard for discussion....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyinyi bado mjishasha na kiswahili get a life this is the 21 century and FYI almost everyone in kenya is multi-lingual.
Kipi cha ajabu sasa hapo?
Nenda kwenye thread inayo husu Tz 27 duniani ukaone vitu wewe.
Acha longolongo. Anzisha thread ya ku compare JWTZ na kajeshi kenu ka Kenya drinking force.
This guys are just bitter we flexing and they have nothing to show so what do they usually do!...they resort to name calling and constantly reminding us how big kibera, mathare are , how many of us sleep with our tummies empty and the talk about alshaabab will be the constant reminder of how "a big embarrasment" our security forces are.
jeez cant they just chill already. So petty.
Hadithi ya lila na fila ni ipi nifahamishe.Acha hadithi za lila na fila na wewe.Ushamba unayo kutoka mbeya.JWTZ ni aibu gani hiyo.....
That thread was such a big an embarassment, it was breath taking..just ask your comradesKipi cha ajabu sasa hapo?
Nenda kwenye thread inayo husu Tz 27 duniani ukaone vitu wewe.
Acha longolongo. Anzisha thread ya ku compare JWTZ na kajeshi kenu ka Kenya drinking force.
Nyie ni wapuuzi tu, eti get a life. Kwa hiyo kizungu ndio maisha. Ha ha ha, hata wazungu wenyewe wakikusikia na huu ujinga watakucheka. Zindukeni.Na nyinyi bado mnajishasha na kiswahili get a life this is the 21 century and FYI almost everyone in kenya is multi-lingual.
MULTILINGUAL ....ama huelewiNyie ni wapuuzi tu, eti get a life. Kwa hiyo kizungu ndio maisha. Ha ha ha, hata wazungu wenyewe wakikusikia na huu ujinga watakucheka. Zindukeni.
WamezidiSO petty...they never cross my mind these days esp when I discovered they have mashed potatoes in between their ears.....
Hadithi ya lila na fila ni ipi nifahamishe.
Mbeya ni mkoa hapa tanzania au una maana ya mbea?
Toa maelezo ueleweke au tulia vizuri uandike vyema.
Leta facts hapa zenye references.
Hapa tunaongelea jambo tofauti mburura mwenzako analeta issue za jesh
Nawasihi anzisheni uzi halafu ni tag tumbane.
Halafu muache longolongo, ninataka justified references.
Tru dat petty peopleThis guys are just bitter we flexing and they have nothing to show so what do they usually do!...they resort to name calling and constantly reminding us how big kibera, mathare are , how many of us sleep with our tummies empty and the talk about alshaabab will be the constant reminder of how "a big embarrasment" our security forces are.
jeez cant they just chill already. So petty.
Mbona huku ughaibuni mnatuaibisha sana nyie watz,Nyie ni wapuuzi tu, eti get a life. Kwa hiyo kizungu ndio maisha. Ha ha ha, hata wazungu wenyewe wakikusikia na huu ujinga watakucheka. Zindukeni.
Sasa acheni ushamba wa kuleta picha za jeshi kwenye thread ambazo hazihusiki.That thread was such a big an embarassment, it was breath taking..just ask your comrades
Unafikiri ni wewe peke yako unayeishi ughaibuni? Wadanganye wakenya wenzako.Mbona huku ughaibuni mnatuaibisha sana nyie watz, View attachment 435027
Sielewi nini?MULTILINGUAL ....ama huelewi
90% of the pictures in that thread are KDF in action in Somalia The rest are tanzanians whining and changinh topics or Military parades in a stadium in Dar....Go and see from page 1That thread was such a big an embarassment, it was breath taking..just ask your comrades
Hahaaa wanadanganywa na google na wikipedia eti kenya has 24k troops ..plzzz90% of the pictures in that thread are KDF in action in Somalia The rest are tanzanians whining and changinh topics or Military parades in a stadium in Dar....Go and see from page 1
Kenya spends nearly 2.3bn$ on weapons We have nearly 80,000 soldiers
Some soldiers Own guns that go as much as 500,000kshs ....that is a toyota NZE
alafu JWTZ na budget ya 367mn$ inajaribu kuleta nyoko nyoko.....the level of delusion in tanzania
Wewe nimekuambia ni mshamba sana.90% of the pictures in that thread are KDF in action in Somalia The rest are tanzanians whining and changinh topics or Military parades in a stadium in Dar....Go and see from page 1
Kenya spends nearly 2.3bn$ on weapons We have nearly 80,000 soldiers
Some soldiers Own guns that go as much as 500,000kshs ....that is a toyota NZE
alafu JWTZ na budget ya 367mn$ inajaribu kuleta nyoko nyoko.....the level of delusion in tanzania
Nilileta KDF juu mtualianza story za alshabaabWakenya ni aje, mkenya mwenzenu kaanzisha uzi wa masuala ya BRT, wengine mnaleta ushamba huku, sam999 canadian graduate, wewe mshamba kichizi jamaa angu, nilishakwambiaga. Unapanic kama mtt wa kike. Wewe ndio umechafua uzi na vinyesi vyako vya KDF.
If that makes you sleep well at night Tell yourself that...Wewe nimekuambia ni mshamba sana.
Sisi tunatumia silaha za Urusi na China
Nyie mnatumia silaha outdated za wazungu mnauziwa bei ghali.
China,Urusi na Tanzania ni nchi za kijamaa.
Kwa hiyo silaha tunauziana kama ndugu.
Wewe anzisha thread hiyo tuoneshane silaha. Siyo mbwembwe za kusema ghalama.