Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Sawa .....watever you nees to tell yourself ..tell yourself....Hiyo picha ya tenga ilishakanushwa siku nyingi. Kuna watu waliifanyia photoshop. Wakenya wanapiga mayowe tu, wapuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa .....watever you nees to tell yourself ..tell yourself....Hiyo picha ya tenga ilishakanushwa siku nyingi. Kuna watu waliifanyia photoshop. Wakenya wanapiga mayowe tu, wapuuzi.
I love you man!!
Nini hiki.weka matatu then linganisha na BRTNairobi Bus service in Yellow
View attachment 434657
Keep calm Nairobi is Lit!
View attachment 434661
Usituwekee picha za wanawake maana tukianza hapa utakimbia.ushauri yako.Nairobi Hatuhitaji Dart Kila mahali kuko paved Unaeza tembea Barefoot mpaka mtaa na Urudi
View attachment 434665KBS IN BLUEView attachment 434666
Kweli hivyo??Wanakunya ndani ya mabasi na vituon hadi magufuli akakereka, tafuteni hio taarifa muibandike humu.. Washamba wa dar wanafikiri brt ni mobile toilet!! Ebooo
Tuoneshe barabara zake maalumu acha upuuzi, mabasi kama hayo yalikuwepo Tanzania enzi za Mwalimu.a bado tunazo kubwa ambazo hata husikii tukiongelea, sababu wakati wake bado, tukishamaliza light rails 2017, BRT next 2018, kila kitu kwa mpango utalipa mahari huku hujatongoza, mnavyo fanya wabongo??
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wacha nikome hapo
Hukusoma pale juu nikikwambia sisi mabasi kama haya tunayo lakini hatusema maana wakati wake bado. hatutaki kufanya vitu za kukwama kama mnavyofanya Wabongo, we call it enhancing enabling environment. Tukimaliza reli, tunaiunganisha kwenye CBD na light rails (tram systems) halafu BRT inafuata hii miundo. Kama hauna barabara za kutosha kila sehemu (ring roads) utajenga BRT ufanyie nini??? Hapo sasa ndio Wabongo hamkufahamu!!!Tuoneshe barabara zake maalumu acha upuuzi, mabasi kama hayo yalikuwepo Tanzania enzi za Mwalimu.
View attachment 434691
Acha kutufanya hatujui kinachoendelea huko kwenu, nyie endeleeni kula kwa macho usafiri wa kisasa Tanzania. Hayo mabasi yenu marefu yanapita kwenye barabara za kawaida kwa hiyo foleni iko palepale.Hukusoma pale juu nikikwambia sisi mabasi kama haya tunayo lakini hatusema maana wakati wake bado. hatutaki kufanya vitu za kukwama kama mnavyofanya Wabongo, we call it enhancing enabling environment. Tukimaliza reli, tunaiunganisha kwenye CBD na light rails (tram systems) halafu BRT inafuata hii miundo. Kama hauna barabara za kutosha kila sehemu (ring roads) utajenga BRT ufanyie nini??? Hapo sasa ndio Wabongo hamkufahamu!!!
Kama sahi Kenya ndo twaunda hizi ring roads na link roads, Kesha BRT. Angalia vizuri picha hii utaona barabara zinazojengwa sasa zina hiyo BRT ikisubiri kuanzishwa mwaka 2017-2018
![]()
Kufika huko, tukaangusha korti hiyo! Nakwambia, hawatarudia kuguza Kenya tena. Tunakosana tu, lakini ukiguza mmoja wetu tunaungana wote. This is Kenya.... Umeusikia msemo huo???Watu wanaoongoza kwa ukabila Afrika nzima mpaka ukabila ukawafikisha The Hague.
Kumbe ni msemo tu?Kufika huko, tukaangusha korti hiyo! Nakwambia, hawatarudia kuguza Kenya tena. Tunakosana tu, lakini ukiguza mmoja wetu tunaungana wote. This is Kenya.... Umeusikia msemo huo???
Uelewe kwamba kuanza, ni design, feasibility study, plans and NEMA aproval then ndo kujenga. Nasahi designs zishatoka. Hivi tender imepewa wachineese wale wanajenga SGR. Wakifika Nairobi wanaendelea na lightrail system!!!!!Acha kutufanya hatujui kinachoendelea huko kwenu, nyie endeleeni kula kwa macho usafiri wa kisasa Tanzania. Hayo mabasi yenu marefu yanapita kwenye barabara za kawaida kwa hiyo foleni iko palepale.
Mvuta bangi wenu aliwapiga changa la macho kuwa mradi wa tram ungeanza Juni lakini hamna kitu.
Nairobi to get first light train in June - Uhuru