Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

Lakini kakangu Wabongo, nani huwapangia mambo? Jiji halijapata order na mnakimbilia BRT kweli?? Mtaona sisi Kenya wakati tunapoweka BRT kila kitu kitakuwa shuari, yani maliza mambo basic kwanza si pupa tu! Sahi Kenya sisi tunazo ndogo hizi lakini uzuri wake umepita hizo Basi zenu!!! Una hii hapa!!! Sio ya kubeba Kuku kama mnavyofanya na hizo basi zenu!!
matatu_interior.jpg

IMG_201510302_084801.jpg
 
Nimeyatumia mara mbili, nilikua na shauku ya kutaka kuhisi yalivyo. Ama kwa kweli huu ni mradi unaofaa kufaulu, utani pembeni, huu mradi Wabongo walifaa kuupokea vizuri na kuufanya ufaulu lakini kwa sasa sijui wanavyokwenda. Aidha mimi itakua nilikua na bahati mbaya ya kusafiri siku isiyofaa. Kwa kuzitumia mara mbili nilikumbana na mambo yasiyofaa. Yafuatavyo

Dereva kugombana na abiria, kuna mama wawili waliokalia kiti kimojaa kinachofaa kutumiwa na abiria mmoja. Ssasa dereva alitoka usukani akaja kugombana nao hadi mmoja akasimama. Jamaa alionekana mwenye hasira za kuchoka, hamna tofauti na wale wa madaladala ya kawaida.

Wabongo wengine kutofuata foleni, yaani tupo tumepanga foleni ya kulipia kwenye kituo, wanakuja pembeni na kujichomeka chomeka pale mbele karibu na mhudumu wa kupokea hela.

Uendeshaji wa breki za ghafla, duh hili bana, yaani mumejazana halafu breki hiyooo.

Kujazana sana huku wengi wakisimama, labda yanafaa kuwa na kiwango.

Kuchelewa, kuna mengine yanasubiriwa sana, umelipia lakini haliji.

Risiti kugoma goma, inaonyesha duplicate wakati msafiri amelipia papo hapo. Niliona baba fulani akiteseka sana kwa hili.

Wakati wa kutoka risiti ilinigomea ikabidi mhudumu anifungulie mlango mwenyewe, halafu hata wahudumu wenyewe hawapo muda wote. Unakuta risiti zinagoma kufungua kiingilio cha kituo na hamna mhudumu wa kuelekeza karibu.

Mara ya kwanza nilitupa risiti kwenye pipa la taka mara tu baada ya kushuka, sikujua unafaa udumishe risiti hadi utoke nje ya kituo, ilibidi niombe kufunguliwa kiingilio. Aidha ningelazimika kulipia tena, panafaa kuwa na maelekezo.

Pia niliabiri pale Posta ya zamani nikiwa na nia ye kwenda Ubungo, nikajikuta Kivukoni halafu likaegezwa pembeni na kuombwa tushuke tusubiri la kwenda Ubungo. Japo hapa siwezi kuwalaumu maana sikuwa makini kwa kuangalia linakoelekea, mimi nilina limeandikwa Ubungo nikajua basi huko ndiko litakwenda.

Lingine nilipanda nikiwa na kusudi la kwenda mjini kumbe la Gerezani, pia siwezi kuwalaumu hapa maana pia sikua makini.

Halafu hayafai kwa watu wanaosafiri kwa umbali mfupi, maana nauli ni ile ile ilhali madaladala yameondolewa barabarani.
 
a bado tunazo kubwa ambazo hata husikii tukiongelea, sababu wakati wake bado, tukishamaliza light rails 2017, BRT next 2018, kila kitu kwa mpango utalipa mahari huku hujatongoza, mnavyo fanya wabongo??
bus.jpg

0fgjhs4iuptged467.54d5445a.jpg

0fgjhs1bcgghm46fno.8d0e4145.jpg

KQ%20Buses.jpg
384128
images

kq11.jpg

Wacha nikome hapo
 
Tuoneshe barabara zake maalumu acha upuuzi, mabasi kama hayo yalikuwepo Tanzania enzi za Mwalimu.
bk.jpg
 
Watu wanaoongoza kwa ukabila Afrika nzima mpaka ukabila ukawafikisha The Hague.
 
Brt inazidi kua na changamoto siku hadi siku .. lakini ni mradi mzuri sana. ...unasave muda. ...kutoka kimara hadi posta sahvi nusu saa tu....zamani ilikua masaa mawili
 
Tena wanaanza phase ya pili....iyo itapiga mbagala uko. ...
 
Tuoneshe barabara zake maalumu acha upuuzi, mabasi kama hayo yalikuwepo Tanzania enzi za Mwalimu.
View attachment 434691
Hukusoma pale juu nikikwambia sisi mabasi kama haya tunayo lakini hatusema maana wakati wake bado. hatutaki kufanya vitu za kukwama kama mnavyofanya Wabongo, we call it enhancing enabling environment. Tukimaliza reli, tunaiunganisha kwenye CBD na light rails (tram systems) halafu BRT inafuata hii miundo. Kama hauna barabara za kutosha kila sehemu (ring roads) utajenga BRT ufanyie nini??? Hapo sasa ndio Wabongo hamkufahamu!!!

Kama sahi Kenya ndo twaunda hizi ring roads na link roads, Kesha BRT. Angalia vizuri picha hii utaona barabara zinazojengwa sasa zina hiyo BRT ikisubiri kuanzishwa mwaka 2017-2018
30201138103_c884cde904_h.jpg
 
Acha kutufanya hatujui kinachoendelea huko kwenu, nyie endeleeni kula kwa macho usafiri wa kisasa Tanzania. Hayo mabasi yenu marefu yanapita kwenye barabara za kawaida kwa hiyo foleni iko palepale.
Mvuta bangi wenu aliwapiga changa la macho kuwa mradi wa tram ungeanza Juni lakini hamna kitu.
Nairobi to get first light train in June - Uhuru
 
Watu wanaoongoza kwa ukabila Afrika nzima mpaka ukabila ukawafikisha The Hague.
Kufika huko, tukaangusha korti hiyo! Nakwambia, hawatarudia kuguza Kenya tena. Tunakosana tu, lakini ukiguza mmoja wetu tunaungana wote. This is Kenya.... Umeusikia msemo huo???
 
Acha kutufanya hatujui kinachoendelea huko kwenu, nyie endeleeni kula kwa macho usafiri wa kisasa Tanzania. Hayo mabasi yenu marefu yanapita kwenye barabara za kawaida kwa hiyo foleni iko palepale.
Mvuta bangi wenu aliwapiga changa la macho kuwa mradi wa tram ungeanza Juni lakini hamna kitu.
Nairobi to get first light train in June - Uhuru
Uelewe kwamba kuanza, ni design, feasibility study, plans and NEMA aproval then ndo kujenga. Nasahi designs zishatoka. Hivi tender imepewa wachineese wale wanajenga SGR. Wakifika Nairobi wanaendelea na lightrail system!!!!!
pnk75j4.jpg
 
Back
Top Bottom