Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

Na nyinyi bado mjishasha na kiswahili get a life this is the 21 century and FYI almost everyone in kenya is multi-lingual.

Achana na hao wala Albino.There is nothing new they ever bring aboard for discussion....
 
Kipi cha ajabu sasa hapo?
Nenda kwenye thread inayo husu Tz 27 duniani ukaone vitu wewe.
Acha longolongo. Anzisha thread ya ku compare JWTZ na kajeshi kenu ka Kenya drinking force.

Acha hadithi za lila na fila na wewe.Ushamba unayo kutoka mbeya.JWTZ ni aibu gani hiyo.....Kenya no 75 worldwide while Danganyika is 97.....Aibu gani
 
This guys are just bitter we flexing and they have nothing to show so what do they usually do!...they resort to name calling and constantly reminding us how big kibera, mathare are , how many of us sleep with our tummies empty and the talk about alshaabab will be the constant reminder of how "a big embarrasment" our security forces are.
jeez cant they just chill already. So petty.

SO petty...they never cross my mind these days esp when I discovered they have mashed potatoes in between their ears.....
 
Acha hadithi za lila na fila na wewe.Ushamba unayo kutoka mbeya.JWTZ ni aibu gani hiyo.....
Hadithi ya lila na fila ni ipi nifahamishe.
Mbeya ni mkoa hapa tanzania au una maana ya mbea?
Toa maelezo ueleweke au tulia vizuri uandike vyema.

Leta facts hapa zenye references.
Hapa tunaongelea jambo tofauti mburura mwenzako analeta issue za jeshi.
Nawasihi anzisheni uzi halafu ni tag tumbane.
Halafu muache longolongo, ninataka justified references.
 
Kipi cha ajabu sasa hapo?
Nenda kwenye thread inayo husu Tz 27 duniani ukaone vitu wewe.
Acha longolongo. Anzisha thread ya ku compare JWTZ na kajeshi kenu ka Kenya drinking force.
That thread was such a big an embarassment, it was breath taking..just ask your comrades
 
Na nyinyi bado mnajishasha na kiswahili get a life this is the 21 century and FYI almost everyone in kenya is multi-lingual.
Nyie ni wapuuzi tu, eti get a life. Kwa hiyo kizungu ndio maisha. Ha ha ha, hata wazungu wenyewe wakikusikia na huu ujinga watakucheka. Zindukeni.
 
Hadithi ya lila na fila ni ipi nifahamishe.
Mbeya ni mkoa hapa tanzania au una maana ya mbea?
Toa maelezo ueleweke au tulia vizuri uandike vyema.

Leta facts hapa zenye references.
Hapa tunaongelea jambo tofauti mburura mwenzako analeta issue za jesh
Nawasihi anzisheni uzi halafu ni tag tumbane.
Halafu muache longolongo, ninataka justified references.

There is Nothing new you ever say...and if you are a micro-representation of the Danganyikan Nation then God forbid.You are even an embarrassment to the human race.....
 
This guys are just bitter we flexing and they have nothing to show so what do they usually do!...they resort to name calling and constantly reminding us how big kibera, mathare are , how many of us sleep with our tummies empty and the talk about alshaabab will be the constant reminder of how "a big embarrasment" our security forces are.
jeez cant they just chill already. So petty.
Tru dat petty people
 
Nyie ni wapuuzi tu, eti get a life. Kwa hiyo kizungu ndio maisha. Ha ha ha, hata wazungu wenyewe wakikusikia na huu ujinga watakucheka. Zindukeni.
Mbona huku ughaibuni mnatuaibisha sana nyie watz,
1479292183046.png
 
That thread was such a big an embarassment, it was breath taking..just ask your comrades
Sasa acheni ushamba wa kuleta picha za jeshi kwenye thread ambazo hazihusiki.
Huo ni ushamba na umburura.
Anzisheni thread inayohusu kulinganisha Jeshi la wananchi wa Tanzania na kajeshi kenu kakijizi ka kenya.
 
That thread was such a big an embarassment, it was breath taking..just ask your comrades
90% of the pictures in that thread are KDF in action in Somalia The rest are tanzanians whining and changinh topics or Military parades in a stadium in Dar....Go and see from page 1

Kenya spends nearly 2.3bn$ on weapons We have nearly 80,000 soldiers

Some soldiers Own guns that go as much as 500,000kshs ....that is a toyota NZE

alafu JWTZ na budget ya 367mn$ inajaribu kuleta nyoko nyoko.....the level of delusion in tanzania
 
Wakenya ni aje, mkenya mwenzenu kaanzisha uzi wa masuala ya BRT, wengine mnaleta ushamba huku, sam999 canadian graduate, wewe mshamba kichizi jamaa angu, nilishakwambiaga. Unapanic kama mtt wa kike. Wewe ndio umechafua uzi na vinyesi vyako vya KDF.
 
Hahaaa wanadanganywa na google na wikipedia eti kenya has 24k troops ..plzzz
 
90% of the pictures in that thread are KDF in action in Somalia The rest are tanzanians whining and changinh topics or Military parades in a stadium in Dar....Go and see from page 1

Kenya spends nearly 2.3bn$ on weapons We have nearly 80,000 soldiers

Some soldiers Own guns that go as much as 500,000kshs ....that is a toyota NZE

alafu JWTZ na budget ya 367mn$ inajaribu kuleta nyoko nyoko.....the level of delusion in tanzania
Wewe nimekuambia ni mshamba sana.
Sisi tunatumia silaha za Urusi na China
Nyie mnatumia silaha outdated za wazungu mnauziwa bei ghali.

China,Urusi na Tanzania ni nchi za kijamaa.
Kwa hiyo silaha tunauziana kama ndugu.

Wewe anzisha thread hiyo tuoneshane silaha. Siyo mbwembwe za kusema ghalama.
 
Wakenya ni aje, mkenya mwenzenu kaanzisha uzi wa masuala ya BRT, wengine mnaleta ushamba huku, sam999 canadian graduate, wewe mshamba kichizi jamaa angu, nilishakwambiaga. Unapanic kama mtt wa kike. Wewe ndio umechafua uzi na vinyesi vyako vya KDF.
Nilileta KDF juu mtualianza story za alshabaab

Nikaleta story ya Canada juu mtu alianza story ya kutotembea
......
 
Wewe nimekuambia ni mshamba sana.
Sisi tunatumia silaha za Urusi na China
Nyie mnatumia silaha outdated za wazungu mnauziwa bei ghali.

China,Urusi na Tanzania ni nchi za kijamaa.
Kwa hiyo silaha tunauziana kama ndugu.

Wewe anzisha thread hiyo tuoneshane silaha. Siyo mbwembwe za kusema ghalama.
If that makes you sleep well at night Tell yourself that...
 
Back
Top Bottom