Sio kweli kwamba incumbent president wa malawi ndie anayechochea hili suasa,huyu mama amekuta tayari kuna diplomatic disputes between tanzania na malawai juu ya Lake Tanganyika, but nataka niwahakikishie kwamba predecesor wake The late Bingu wa mutharika alikuwa tatizo kubwa ilifikia kipindi uhusiano wetu na malawu ulikuwa mbaya na kimsingi hata alipofarika serikali ta mbayuwayu ikajihaminisha kwamba issui imehisha but kumbe wanachokifany ni ku_pospond problem
Its better serikali washughulikie hili suala mapema kuliko kukaa kimya otherwise yatatokea maafa ammbayo yatasababisha watanzania wapoteze maisha.
Reference.migingo disputes between kenya and uganda raia wengi wa both country walipoteza maisha, Abyey disputes between south sudan and North sudan watu wamepoteza maisha na wanaendelea kupoteza maisha, Kagera war Tanzania na Uganda wote ni mashaidi kilichotokea though tulimgoa Dictator Amin lakini loss tuliopata bad hatuja-recover after 26 yrs
FYI. More than 8o percent ya conflict zinasababishwa na resources kama samaki na kwa hili ni wazi kabisa kinachogombaniwa hapa ni samaki na matumizi mengine ya hili ziwa kama usafirishji na mengineo.
Ushahidi mwingine wa ugomvi kwenye resoutces tumeshuudia last week the way wabunge walivyokuwa wanamtetea Mhando kamati zote hta na hili ya ukaguzi wa mashirika ya serikali inayoongozwa na
Zitto Kabwe, lakini mkurugenzi wa makumbusho kasimamishwa kama alivyosimamishwa muhando tena yeye kahonewa kwa kwa maslai ya wakubwa sikumsikia mbunge yeyote anamtetea reason pale ni pakavu hamna kitu, ni kijiwe kina njaa, hana pesa za kuwapa wabunge wamsemee