Sawa ndugu yangu naomba iangalie Pm utaiona.Yaani hii App niliyonayo sasa ni shida haioneshi notification mpya wala nini. Sijaiona kabisa. Nilipoteza App ya kwanza ya jf hii yaani siielewi. Nisamehe bure.
Wanataka uhuru wa kidemokrasia ,mikutano imezuiwa,ata uhuru wa vyombo vya habar umefinywaWhat does TZ opposition complain about? Corruption? Lack of infrastruture development? Ethinicity? Nini haswa huwa wanateta kuhusu? What is their agenda that they think JPM is not doing? Sijui kwanini lakin naona tu hawana lakusema wanasumbua tu bure wakitafuta umaarufu kwa vyombo vya habari, wafungwe wote kama ni fursa ya kutusi serikali wanayoipigania
Mtaacha upumbavu lini?Magufuli anahusiana nini ha kesi ya sugu aisee?Kumbe hujui Magufuli ni judge ni spika wa bunge na ni polisi pia?
Kwa taarifa yako iyo hukumu ni maelekezo kutoka juu.
Una unakika ALIMTUSI MAGUFULI...??? Alimtukanaje..??
Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chadema Joseph Mbilinyi kwa jina maarufu Sugu na mwenzake Katibu wa Chadema Kanda ya nyanda za juu kusini, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kufungwa jela miezi mitano.
Wawili hao walikuwa wameshtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Rais John Magufuli.
Wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mwezi Desemba mwaka mwaka jana jijini Mbeya.
Hukumu dhidi yao imetolewa na Mahakama ya hakimu mkazi jijini Mbeya.
Hati ya mashtaka imesema maneno waliyoyatamka yalienda kinyume na Sehemu 89(1) a ya Sheria za Jinai ambayo inaharamisha kutumiwa kwa lugha ya matusi.
Maneno hayo, hati za mashtaka zinasema, yangeweza kusababisha uvunjifu wa amani.
Mbunge afungwa jela miezi mitano kwa kumtusi Magufuli Tanzania
Tanzania opposition MP jailed for five months for insulting president
DAR ES SALAAM (Reuters) - A court in Tanzania sentenced two opposition leaders to five months in prison on Monday for insulting President John Magufuli, a decision likely to fuel criticism that authorities are undermining democracy and stifling free speech.
The court in the southern highlands convicted Joseph Mbilinyi, a lawmaker from the main opposition CHADEMA party, and local leader for the party Emmanuel Masonga for using abusive language against the president at a public rally in December. Court documents seen by Reuters show that Mbilinyi was accused of associating Magufuli with an alleged assassination attempt on vocal opposition MP Tundu Lissu last year. Lissu, a fierce critic of Magufuli’s government, was shot several times by unknown gunmen in the administrative capital Dodoma in September. He sought treatment abroad and has yet to return. Magufuli condemned the attack on the opposition lawmaker and called for a swift investigation. “Mbilinyi ... used insulting language against President John Magufuli ... likely to cause breach of peace,” said part of the charge sheet. According to Tanzania’s penal code, “any person who uses obscene, abusive or insulting language to any other person in such a manner as is likely to cause a breach of the peace” faces a maximum sentence of six months in jail. CHADEMA’s deputy secretary general John Mnyika told reporters on Monday that the opposition party would appeal against both the convictions and sentences.
The United States, European Union and several Western embassies in Tanzania last week voiced concern over politically-related violence and allegations of human rights abuses. “We note with concern recent developments which threaten democratic values and the rights of Tanzanians in a country which is widely respected in the world for its stability, peacefulness and freedoms,” the European Delegation to Tanzania said in a statement on Friday.
But the criticism is unlikely to hurt the government politically, since it remains in an electorally strong position. Three people, including a university student, were killed over the past few weeks in various parts of Tanzania in politically-related incidents, according to opposition leaders. An opposition figure and a journalist have also disappeared. More than 10 people, including university students and a lecturer, have been charged in court over the past two years with insulting the president via social networking platform like WhatsApp.
Insulting the president on social media was made a criminal offence under a cyber crimes law passed in 2015 before Magufuli came into office.
Kumsingizia mtu ni muuwaji wakati huna ushahidi, matokeo yake ndio hayo.
Naona imewauma sana. Mwingine naye ambaye ni mbunge pia, alimtusi rais Uhuru Kenyatta kwamba ni mtoto wa mbwa. Walimfungulia kesi lakini bado yupo huru. Anaendelea na vituko vyake. Juzi juzi tu wamekamata tena, baada ya video kutokea, yeye pamoja na 'bodyguard' wake wakimshambulia mlinzi kwenye parking. Miguna Miguna naye ndo huyu njiani akirudi Kenya, kwa agizo la mahakama. Point yangu kuu ni kwamba, mihimili inafanya kazi kwa uhuru kama walivohakikishiwa chini ya katiba ya Kenya.Unakifahamu alichoongea? Jiridhishe kwanza halafu urudi upya kutoa maoni.
Hivi ile hashtag ya Wakenya ya [HASHTAG]#whatMagufuliWouldDo[/HASHTAG] iliishia wapi.
Maana kama Magufuli akija atutawale tutafungwa mamilioni, huku hata tunajiapisha urais kabisa.
Uliyemtolea mfano huyo wa Kenya alitukana. Ni tofauti na Sugu's case. Fuatilia vema.Naona imewauma sana. Mwingine naye ambaye ni mbunge pia, alimtusi rais Uhuru Kenyatta kwamba ni mtoto wa mbwa. Walimfungulia kesi lakini bado yupo huru. Anaendelea na vituko vyake. Juzi juzi tu wamekamata tena, baada ya video kutokea, yeye pamoja na 'bodyguard' wake wakimshambulia mlinzi kwenye parking. Miguna Miguna naye ndo huyu njiani akirudi Kenya, kwa agizo la mahakama. Point yangu kuu ni kwamba, mihimili inafanya kazi kwa uhuru kama walivohakikishiwa chini ya katiba ya Kenya.
uhuru wa kidemokrasia wa ukweli ni freedom from corruption, access to education, food and a Job. Huu Uhuru mwingine wa kupiga Mdomo ni bureWanataka uhuru wa kidemokrasia ,mikutano imezuiwa,ata uhuru wa vyombo vya habar umefinywa
Sasa kwann kuna vyama vingi..kumbuka siasa ni kazi kama zingine...kwani shida iko wap ...mikutano haimzuii mtu kufanya shughul zakeuhuru wa kidemokrasia wa ukweli ni freedom from corruption, access to education, food and a Job. Huu Uhuru mwingine wa kupiga Mdomo ni bure
Tusi ni tusi tu, labda kama alitusi mamake. Hapo sasa ndo mwanaume huwa 'anacatch mafeelings'.Uliyemtolea mfano huyo wa Kenya alitukana. Ni tofauti na Sugu's case. Fuatilia vema.
Unaweza kutofautisha kati ya tusi na shutuma? Anzia hapo kutafakari.Tusi ni tusi tu, labda kama alitusi mamake. Hapo sasa ndo mwanaume huwa 'anacatch mafeelings'.
Haya basi. Pambaneni na hali yenu. Hapa kazi tu.Unaweza kutofautisha kati ya tusi na shutuma? Anzia hapo kutafakari.
Hahahahaaaa! Haya mkuu. Mpambano unaendelea.Haya basi. Pambaneni na hali yenu. Hapa kazi tu.
Mbona mikutano ipo, ni mikutano ipi unaiongelea? Alafu kukaa kuongea kutwa bado mwisho wa siku mnategemea Rais afanyie kazi hicho mnachotaka sasa kwani mamlaka husika haziwezi kupata mapendekezo yenu kwa njia tofauti na maamdamano au huko kwenye maamdamano kuna mengine ya ziada?Sasa kwann kuna vyama vingi..kumbuka siasa ni kazi kama zingine...kwani shida iko wap ...mikutano haimzuii mtu kufanya shughul zake
achana na hili jaluoSasa kwann kuna vyama vingi..kumbuka siasa ni kazi kama zingine...kwani shida iko wap ...mikutano haimzuii mtu kufanya shughul zake
Kumbe hujui Magufuli ni judge ni spika wa bunge na ni polisi pia?..
Hivi ile hashtag ya Wakenya ya [HASHTAG]#whatMagufuliWouldDo[/HASHTAG] iliishia wapi.
Maana kama Magufuli akija atutawale tutafungwa mamilioni, huku hata tunajiapisha urais kabisa.
Tunayojua kayafanya ktk kipindi chake ni haya.What does TZ opposition complain about? Corruption? Lack of infrastruture development? Ethinicity? Nini haswa huwa wanateta kuhusu? What is their agenda that they think JPM is not doing? Sijui kwanini lakin naona tu hawana lakusema wanasumbua tu bure wakitafuta umaarufu kwa vyombo vya habari, wafungwe wote kama ni fursa ya kutusi serikali wanayoipigania
Alitamka kwa kinywa chake kuwaongoza majaji nn wafanye kwenye kesi na akawaahdi pesa gawio sasa hujui unaishi dunia gani.Kwahiyo Magufuli ndio alikuwa judge akatoa hiyo hukumu?