mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kama kawaida yako[emoji23][emoji23] wala usijal mambo yatakufraisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yako[emoji23][emoji23] wala usijal mambo yatakufraisha
Kwaiyo treni ya mwandisi ndio yetu.....wala usiwe na haraka tutaelewana
Uswazi unavyonuka sana nahisi wewe na bibiye munanuka kinyesi.Nenda kwanza ujisafishe chokoraa wewe.Akili chenyewe takatakaAhaa haaa
usafi wa mwili unaendana na usafi wa akili. Ni mara chache sana mtu ambaye ni mchafu wa mwili, hajaoga masaa 12 - 24, tena wakike, halafu utegemee awe na akili nzuri. Ulichoandika nilikitegemea kutoka kwa mtu asiye nadhifu kimuonekano. By the way have you eaten. Isije ikawa nayo ni sababu.
😛 😛 😛
Are those countries belong to eac!!!?
Siku hizi kabla ya ku engage nanyi kwa discussion, have to ask if you took shower. Au umekula!!!!??
Senegal, Morocco, South Africa, Algeria, Ethiopia-Djibouti. Yaani hakuna cha ajabu hapo. Nyie sio wa kwanza na hamutakuwa wa mwisho.