hatari,,hatari,,hatari wakikutana wanaojua ni burudani.
Mamelody.
Esparance de tunis.
Atletico de Luanda.
Al ahly.
Far rabat.
Wydad.
👆
wakikutana hao inapigwa mbungi ya maana misako inafanyika mtaa kwa mtaa.alafu ukicheki hizi timu zetu zinavyobutua butua mpira ni uharo mtupu.
game ya leo Ahly Vs Mamelody imenikumbusha mechi moja bora kabisa kati ya Boca jr Vs Liver plate.