Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke.

Hawa jamaa wapo mbali sana kisoka, tukubali mpira unanjia zake na sisi bado tupo vichocholoni tunatafuta njia (hatua).

Jana pia kuna somo lilikuwa linapgwa pale Morocco Wydad vs Petro Atletico.

Marcelo Ivan Allende. What a player 🙌.

6A6827CF-9E6C-4E54-BF0D-A67541689808.jpeg
 
hatari,,hatari,,hatari wakikutana wanaojua ni burudani.
Mamelody.
Esparance de tunis.
Atletico de Luanda.
Al ahly.
Far rabat.
Wydad.
👆
wakikutana hao inapigwa mbungi ya maana misako inafanyika mtaa kwa mtaa.alafu ukicheki hizi timu zetu zinavyobutua butua mpira ni uharo mtupu.

game ya leo Ahly Vs Mamelody imenikumbusha mechi moja bora kabisa kati ya Boca jr Vs Liver plate.
 
Tatizo mnataka mafanikio ya haraka bila misingi mizuri maana kwa hali hii ya kutimua timua makocha tutafika huko walipofika wenzetu hao?uwekezaji duni na wenye janja janja nyingi ndio matokeo yake ...
 
Back
Top Bottom