Tanzania Military Intelligence vs TISS

Status
Not open for further replies.
Kwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.
 
Psu ndo nini mdau
 
In deed! Tuzidi kuwapa moyo wa support ili jeshi letu liendelee kung'ara ndani na nje ya nchi yetu kwa kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu mkubwa.
 
Kwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.

Una dharau sana!!
 
Okay,sasa hao wahamiaji haram inakuaje hukamatiwa let say Dodoma au Mbeya na hawakamatiwi wanakoingilia?
 
So huenda kwenye usafirishaji wa wale twiga na uingizwaji wa unga hapa wanachelewa kushauri,au wanashauri lakini hawaskilizwi?
 
Hao TISS na MI nao ni binadamu na kuna ambao pia wanachukua rushwa na ndio maana unaona Wahamiaji haramu wanavuka mipaka lakini wanakuja kukamatwa let say Dodoma ilhali wamepita check point zoote za Uhamiaji ndani ya mipaka yetu.
 
Kwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.

Kwani unahitaji kuwa na uwezo wa kifedha kiasi gani ndio uwe na intelijensia imara??? Mbona israel hana uwezo wa fedha kiivo lakini anawazidi wengi??? Au mbona nigeria ana uwezo kifedha lakini rwanda ana mzidi kete??

Tafakari
 
You are dead wrong comrade. Nani kakwambia Rwandans are better compared to Nigerians??? and who also fed you the big lie that the Jews are economically broke???
Read more, learn more!!!
 
Kwani unahitaji kuwa na uwezo wa kifedha kiasi gani ndio uwe na intelijensia imara??? Mbona israel hana uwezo wa fedha kiivo lakini anawazidi wengi??? Au mbona nigeria ana uwezo kifedha lakini rwanda ana mzidi kete??

Tafakari

hata Nyerere alikuwa hana fedha nyingi ila Intelijensia yake ilikuwa ni balaa!!!
 
Swali, Hivi wakuu ktk mafunzo ya watu wa usalama na JWTZ ni wapi wenye mafunzo magumu?
 
Kwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.
Umenena kweli mkuu...hata hivyo hawa jamaa wa TISS naona kama wako kisiasa zaidi na si kumtetea mtanzania wa kawaida na ndo sabab tuna vitu kama EPA,Mikataba mibov ya madin,Escro account, IPTL ,kutoroshwa twiga,ujangili na madudu mengine kibao? They would have foreseen that and prevent or advice accodingly
 
TISS wako makini na kazi yao ya kutoa taarifa nyeti na husika mahala husika kabla ya tukio ila watrkelezaji ndio hu delay kwa maslahi binafsi ila in short wako vizuri na ni wazalendo

Changamoto nyingne n zao hao wanasiasa kutotilia maanan kwa maslahi yao

All in all,watanzania sisi n watu wa Ku critisize kila kitu na sio Ku argue na hilo ndio tatzo letu.....
 
If you were real sure that "they" did not!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…