Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS ni zaidi ya uijuavyo. Wengi wenu mtaishia kujua kitengo kimoja tu cha PSU.
Kwa kuwa habari nyingi zimezuiliwa ( classfied ), watu hubaki kudhania hivi na vile ama vile.
Idara ipo imara, tena sana ingawaje kuna changamoto za hapa na pale.
Naipa kongole TISS kwa kazi nzuri.
Huko 'Jey wii' nako "kuko njema" sana.
Mtoa mada! 'Ngoma droo' tu huko MI & TISS.
Psu ndo nini mdau
Duuuuh kuna wanajamii ni intelligent sana humu ndani mmhhh. Kuna vichwa vilipaswa kuteuliwa kwenye wizara za ulinzi sema tu this system is too corrupt to spot your talents wakuu..give us some more wakuu.
Inaitwa MI.... Hicho ulichotaja ni cheo ...CMI - chief of millitary intelligence .....Msaidizi wake anaitwa DMI - director of Millitary Intelligence.
kazi ngumu Sana Hiyo ..hawa Ndio hufanya infiltration kwenye Nchi yeyote yenye mwelekeo wa kuwa Adui ...ukisikia watu wanatangaza vita ujuwe hawa miaka hadi mitatu kabla walishaingia kwa Adui .. ( kujipenyeza)
Kwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.
Una dharau sana!!
Hakuna hata chembe ya dharau hapo mkuu. The guy is correct
Okay,sasa hao wahamiaji haram inakuaje hukamatiwa let say Dodoma au Mbeya na hawakamatiwi wanakoingilia?TMI ndo wako juu zaidi hawa ndo wanapiga doria usiku na mchana na kukamata mamluki wanaongia kupitia mipakani kimyakimya! hawa ndo wanafanya kazi sana kulinda nchi na mambo yao huwa hayatangazwi sijui wanaokamatwaga huwa wanawapeleka wapi,kama sio hawa nchi ingekuwa pabaya.
So huenda kwenye usafirishaji wa wale twiga na uingizwaji wa unga hapa wanachelewa kushauri,au wanashauri lakini hawaskilizwi?Upo sahihi kwa 100%. Ambaye hataelewa ulichoandika basi ni Kanjanja wa div 5. Watu hawajui kuwa MI ipo ndani ya Jeshi. Lakini TISS ni idara inayojitegemea na majukumu yake yapo kila sehemu ikiwa ni pamoja na mambo ya Jeshi . TISS inagusa SIASA za nchi, uchumi, Social Affairs , Mahusiano nk ambapo jukumu lake nikufanya tathmini ya kiusalama na mwisho kushauri njia sahihi zakuchukuliwa na mamlaka stahiki.
Kwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.
Kwani unahitaji kuwa na uwezo wa kifedha kiasi gani ndio uwe na intelijensia imara??? Mbona israel hana uwezo wa fedha kiivo lakini anawazidi wengi??? Au mbona nigeria ana uwezo kifedha lakini rwanda ana mzidi kete??
Tafakari
You are dead wrong comrade. Nani kakwambia Rwandans are better compared to Nigerians??? and who also fed you the big lie that the Jews are economically broke???
Read more, learn more!!!
Mkuu una hasira...
Umenena kweli mkuu...hata hivyo hawa jamaa wa TISS naona kama wako kisiasa zaidi na si kumtetea mtanzania wa kawaida na ndo sabab tuna vitu kama EPA,Mikataba mibov ya madin,Escro account, IPTL ,kutoroshwa twiga,ujangili na madudu mengine kibao? They would have foreseen that and prevent or advice accodinglyKwataifa ambalo asilimia zaidi ya 50 ya bajeti ni ya kuomba omba kwa wafadhili usitegemee uimara wowote kwenye taasisi kama hizo zaidi ya porojo tu...hapa mtaishia kuzungumzia ndoto tu na mambo ambayo hayajawahi kutekelezeka.
Umenena kweli mkuu...hata hivyo hawa jamaa wa TISS naona kama wako kisiasa zaidi na si kumtetea mtanzania wa kawaida na ndo sabab tuna vitu kama EPA,Mikataba mibov ya madin,Escro account, IPTL ,kutoroshwa twiga,ujangili na madudu mengine kibao? They would have foreseen that and prevent or advice accodingly
Umenena kweli mkuu...hata hivyo hawa jamaa wa TISS naona kama wako kisiasa zaidi na si kumtetea mtanzania wa kawaida na ndo sabab tuna vitu kama EPA,Mikataba mibov ya madin,Escro account, IPTL ,kutoroshwa twiga,ujangili na madudu mengine kibao? They would have foreseen that and prevent or advice accodingly