matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 126
If you were real sure that "they" did not!!!!
Sasa ndugu kama wanaweza shauri na viongozi wasifuate ushauri wao why should we have them? If we know this guys are toothless....sasa umadhubut wao uko wapi kama taifa linaendelea kuangamia? I realy appreciate to some extent military inteligence but not TISS...
Unaijua firigisi??!!!
Kazi yake??!!
Masharti yake ukitaka kuila??!!
Kinacholiwa ndicho kinachofanya kazi ndege akiwa hai??!!!
Ni hayo tu mkuu!!!
If you were real sure that "they" did not!!!!
Teh teh!
Mi napita tu.
Unaitoa gamba gumu kwanza.hahaaaa lazima ilike.
Acha japo buku ya njota baab!!!
Habari zenu wanajukwaa, naomba tujadili kuhusu vyombo hivi viwili vya usalama.
Katika kujadili vyombo hivi ningependa wanaovifahamu kwa undani waeleze hasa ufanisi wa chombo kimoja dhidi ya kingine, je kati ya vyombo hivyo ya TMI & TISS ni chombo gani chenye uwezo wa kufanya kazi kwa weredi wa juu zaidi?
hata wewe ulivyojibu unaonyesha ni mdau wa hiyo ofisi!!.Mmmmh! !!! Nashukuru kulijua hili. Jinsi ulivyoandika tu unaonekana ni mdau wa hiyo ofisi, hizo ni habari za ndani sana kwa mtu baki kujua kama hao waheshimiwa walishaongoza hizo idara.
PSU=Presidential Security Unit, labda...:A S wink:
kwa nini hawa wanakua ffu na landrover yao kwenye msafara ya rais. Mimi na shauri kuongeza/kuimarisha ulinzi wangetumia na wale mp wa jwtz.
~Dr Ulimboka kang'olewa kucha na meno,kahasiwa mpaka sasa watesi hawajulikani.
~Kibanda katolewa Jicho mpaka sasa hakuna aliyekamatwa
~Twiga wamepanda ndege si TISS/MI walioona hilo tukio
~Tembo wanauliwa hakuna anayetoa meno ya tembo yanasafirishwa hakuna tiss/mi wanaojua
~Watu wamelamba dola laki mbili kwa mda miezi 8 kutoka ujerumani hakuna cha tiss wala nani aliyestukia.
~Watu wanasafirisha Cocain/Heroin wanapitisha magunia kwa magunia at the end inakuja kujulikana ni dawa za pharmacy
~Majambazi kila kukicha wanaongezeka imefikia wanakuja kuiba hadi kwenye vibanda vya vocha na AK47 tiss/mi wapo tu.
~Watu wanaishi tz bila vibali,makomandoo kutoka nepal wanaingia mpaka wanaajiriwa si tiss/mi waliowastukia
~Ni mengi sana ya kuongelea hao jamaa zako wapo kwa ajili ya kulinda wanasiasa tu na wala si usalama wa taifa.....
BR,
King Kong wa 3
Umenyeni,Minjingu.

JF kuna unafki sana,niliwahi kutoa mada ya namna hii kule jukwaa la inteligence na hata hawakuitoa wala kunipa sababu za kutokuitoa....nashangaa inakuaje wameiacha hii mod wa jukwaa la inteligence hauna weledi,unapendelea,ni mbinafsi na una matatizo ya akili....ndio maana tokea umepewa u mods lile jukwaa limekufa......stu...d!