Tanzania Military Intelligence vs TISS

Tanzania Military Intelligence vs TISS

Status
Not open for further replies.
If you were real sure that "they" did not!!!!

Sasa ndugu kama wanaweza shauri na viongozi wasifuate ushauri wao why should we have them? If we know this guys are toothless....sasa umadhubut wao uko wapi kama taifa linaendelea kuangamia? I realy appreciate to some extent military inteligence but not TISS...
 
Unaijua firigisi??!!!
Kazi yake??!!
Masharti yake ukitaka kuila??!!
Kinacholiwa ndicho kinachofanya kazi ndege akiwa hai??!!!

Ni hayo tu mkuu!!!
 
Habari zenu wanajukwaa, naomba tujadili kuhusu vyombo hivi viwili vya usalama.

Katika kujadili vyombo hivi ningependa wanaovifahamu kwa undani waeleze hasa ufanisi wa chombo kimoja dhidi ya kingine, je kati ya vyombo hivyo ya TMI & TISS ni chombo gani chenye uwezo wa kufanya kazi kwa weredi wa juu zaidi?

Nadhani Rais pekee ndiyo anaweza kuwa na jibu. Kwa njia moja au nyingine wanaripoti kwake kwa hiyo anajua nguvu na mapungufu yao. La sivyo sisi hapa tutakuwa tunadanganyana tu kwasababu hatuna facts za utendaji kazi wao.
 
Mmmmh! !!! Nashukuru kulijua hili. Jinsi ulivyoandika tu unaonekana ni mdau wa hiyo ofisi, hizo ni habari za ndani sana kwa mtu baki kujua kama hao waheshimiwa walishaongoza hizo idara.
hata wewe ulivyojibu unaonyesha ni mdau wa hiyo ofisi!!.
 
kwa nini hawa wanakua ffu na landrover yao kwenye msafara ya rais. Mimi na shauri kuongeza/kuimarisha ulinzi wangetumia na wale mp wa jwtz.

FFU sio sehemu ya PSU boss kwa inavyosemekana. Ingawa nchi nyingine kweli wana "Response Units" katika PSU zao wakiwa na heavy carbines, wadunguaji, autos za round nyingi kwa kasi kubwa na umbali mrefu, pengine hata RPGs ambao hawa sasa kazi yao ni mashambulizi mazito iwapo itahitajika kufanya hivyo (shambulio) na/ili kumuweka Rais salama!!!

Wengine wabaki na kazi ya secring and evacuation!!!
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali!!
 
JF kuna unafki sana,niliwahi kutoa mada ya namna hii kule jukwaa la inteligence na hata hawakuitoa wala kunipa sababu za kutokuitoa....nashangaa inakuaje wameiacha hii mod wa jukwaa la inteligence hauna weledi,unapendelea,ni mbinafsi na una matatizo ya akili....ndio maana tokea umepewa u mods lile jukwaa limekufa......stu...d!
 
mtoa hoja hivi hawa wote si wanaishi kwa kodi zetu? pengine tukuhoji wewe hawa wavaa masuti na alot of privileges wanamchango gani on day 2 day kwa lofa wa mtaani zaidi kutusanifu tu. Wao ni msaada kwa wadau wao wanaowaripotia na kuwa fix. Hpa jf tusiwape promo watu ambao si msaada ktk ada ya mwanao au tiba ya babako.
 
sisi tukomae na hawa washikaji wanatutisha mtaani na crown zao kisha jioni wana disturb mboga ya home kisa wanataka mshahara kila siku, saa in the name of kukuondolea soo. Organs zote tajwa hapo licha ya kujaa mafao bado siyo direct performers kwa umma kwa nature yake. Invisibles wanini hapa Jf jamani. au kuna mtu related na mtoa hoja jamaa wamekula jicho tena hahahaaaa
 
~Dr Ulimboka kang'olewa kucha na meno,kahasiwa mpaka sasa watesi hawajulikani.
~Kibanda katolewa Jicho mpaka sasa hakuna aliyekamatwa
~Twiga wamepanda ndege si TISS/MI walioona hilo tukio
~Tembo wanauliwa hakuna anayetoa meno ya tembo yanasafirishwa hakuna tiss/mi wanaojua
~Watu wamelamba dola laki mbili kwa mda miezi 8 kutoka ujerumani hakuna cha tiss wala nani aliyestukia.
~Watu wanasafirisha Cocain/Heroin wanapitisha magunia kwa magunia at the end inakuja kujulikana ni dawa za pharmacy
~Majambazi kila kukicha wanaongezeka imefikia wanakuja kuiba hadi kwenye vibanda vya vocha na AK47 tiss/mi wapo tu.
~Watu wanaishi tz bila vibali,makomandoo kutoka nepal wanaingia mpaka wanaajiriwa si tiss/mi waliowastukia
~Ni mengi sana ya kuongelea hao jamaa zako wapo kwa ajili ya kulinda wanasiasa tu na wala si usalama wa taifa.....

BR,
King Kong wa 3
Umenyeni,Minjingu.
 
choose your words carefully
 
Punguza jazba kijana.
Unaijua firigisi?(si maneno yangu)
 
JF kuna unafki sana,niliwahi kutoa mada ya namna hii kule jukwaa la inteligence na hata hawakuitoa wala kunipa sababu za kutokuitoa....nashangaa inakuaje wameiacha hii mod wa jukwaa la inteligence hauna weledi,unapendelea,ni mbinafsi na una matatizo ya akili....ndio maana tokea umepewa u mods lile jukwaa limekufa......stu...d!

nakuunga mkono mkuu,siku hzi nmebaki msomaji tu kwenye jukwaa hili.Ma-post ya ajabu ajabu ndio wanayaruhusu,kila siku sijui mungu haonekani,sijui mungu kafanyaje ndiyo wanayoyapenda mods wa hili jukwaa.Jukwaa linapoteza mvuto kabisaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom