Tanzania Military Intelligence vs TISS

Tanzania Military Intelligence vs TISS

Status
Not open for further replies.
~Dr Ulimboka kang'olewa kucha na meno,kahasiwa mpaka sasa watesi hawajulikani.
~Kibanda katolewa Jicho mpaka sasa hakuna aliyekamatwa
~Twiga wamepanda ndege si TISS/MI walioona hilo tukio
~Tembo wanauliwa hakuna anayetoa meno ya tembo yanasafirishwa hakuna tiss/mi wanaojua
~Watu wamelamba dola laki mbili kwa mda miezi 8 kutoka ujerumani hakuna cha tiss wala nani aliyestukia.
~Watu wanasafirisha Cocain/Heroin wanapitisha magunia kwa magunia at the end inakuja kujulikana ni dawa za pharmacy
~Majambazi kila kukicha wanaongezeka imefikia wanakuja kuiba hadi kwenye vibanda vya vocha na AK47 tiss/mi wapo tu.
~Watu wanaishi tz bila vibali,makomandoo kutoka nepal wanaingia mpaka wanaajiriwa si tiss/mi waliowastukia
~Ni mengi sana ya kuongelea hao jamaa zako wapo kwa ajili ya kulinda wanasiasa tu na wala si usalama wa taifa.....

BR,
King Kong wa 3
Umenyeni,Minjingu.

Mkuu unachosema n kweli lakini MI na TISS naamin taarifa hutoa tena mapema sana coz ndio jukumu lao tatizo n utekelezaji toka serikalini kwa viongoz wenye mamlaka na inawezekana kwa kuzembea au kwa maslahi binafsi hvyo tusitupie lawana TISS au MI
 
FFU sio sehemu ya PSU boss kwa inavyosemekana. Ingawa nchi nyingine kweli wana "Response Units" katika PSU zao wakiwa na heavy carbines, wadunguaji, autos za round nyingi kwa kasi kubwa na umbali mrefu, pengine hata RPGs ambao hawa sasa kazi yao ni mashambulizi mazito iwapo itahitajika kufanya hivyo (shambulio) na/ili kumuweka Rais salama!!!

Wengine wabaki na kazi ya secring and evacuation!!!
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali!!

Mkuu naona umetumia lugha ya kiaskari sana sijakuelewa vizuri. Ila hapo kwenye autos za round nyingi hata hawa ffu wanatakiwa wape magari hata kama yale ya kubebea fedha mfano kk security kuliko hii landrover tena pick up.

Halfu huu ushauri wa kuongeza mp pia wahusika wa polisi wangeuzingatia. Majeshi yetu yangeshirikina katika hili. Maana kuwa achia hawa ffu na yule mwanajeshi mmoja pale nyuma ya rais haitoshi.

Tuige hata kwa wenzetu mfano obama alipo kuja fikiria waliweka wapiga picha mpaka juu ya mapaa.
 
Wazaramo wanasema "ulikolala wewe leo wenzako waliamkia jana".
 
choose your words carefully

Ibara ya 18 uhuru wa kutoa maoni,hayo yote niliyoyasema yapo na yameripotiwa kwenye vyombo vya habari nlichofanya ni kukumbushia,kupoteza wanaharakati sio suluhisho ndio maana tangia wapotezwe ndio kwanza wanaibuka wengine waliopinda zaidi ya waliompoteza! Hakuna dhambi kubwa kama uoga! Acha Uoga kijana hautaishi milele wewe na hao watu wako!
 
Punguza jazba kijana.
Unaijua firigisi?(si maneno yangu)

Sina Jazba mkubwa,Firigisi naijua vizuri sana na ni mpenzi sana wa hiyo kitu moja wanauza mia 6 si ndio hii ya kuku au kuna nyingine?
 
Ibara ya 18 uhuru wa kutoa maoni,hayo yote niliyoyasema yapo na yameripotiwa kwenye vyombo vya habari nlichofanya ni kukumbushia,kupoteza wanaharakati sio suluhisho ndio maana tangia wapotezwe ndio kwanza wanaibuka wengine waliopinda zaidi ya waliompoteza! Hakuna dhambi kubwa kama uoga! Acha Uoga kijana hautaishi milele wewe na hao watu wako!

Mambo ya Ngoswe ni vigumu kuyafanya kuyafanya yakawa ya Mitomingi.
 
Mkuu unachosema n kweli lakini MI na TISS naamin taarifa hutoa tena mapema sana coz ndio jukumu lao tatizo n utekelezaji toka serikalini kwa viongoz wenye mamlaka na inawezekana kwa kuzembea au kwa maslahi binafsi hvyo tusitupie lawana TISS au MI
Ndiyo maana kwenye Katiba ni vyema tuwe na kipengele kinachowajibisha anayezembea kutekeleza ushahuri wa vyombo vya usalama au mhusika katika vyombo hivi pale anaposhindwa kubainisha na kushauri hujuma kama zilizoorodheshwa na King Kong III au suala lolote linalohusu usalama wa nchi katika maeneo yake.
 
Nakuunga mkono mkuu
 
Mkuu..kwa uelewa wangu ni kwamba vyombo vyote vina uwezo mkubwa sana wa kutekeleza majukumu yake..
Ila nachoweza kuongelea kwa mtazamowangu ni kwamba for obvious reasons (TISS wako exposed sana political inteference, unlike MI) -Natumaini utanielewa. Pia kuna mtoamada mmoja hapo ameelezea...utulivu tulionao ni moja ya matokea ya kazi nzuri inayofanywa na Idara ya Usalama wa Taifa. Otherwise hii nchi ingekuwa imeshalipuka zamani sana!- Sorry nimetoka nje ya mada kidogo...
Nafikiri kwa sababu ya hiyo exposure ni vyema wakalindwa kikatiba. Mara nyingi wao ninwashauri na wanaotakiwa kuchukua hatua uhusisha viongozi wa kisiasa. Ushahuri wao wakati mwingine haufuatwi kwa sababu za kisiasa au matakwa binafsi. Kwa hiyo ni vyema Katiba ikawa na kifungu cha uwajibikaji. Ikiwa ushahuri uliotolewa na hatua stahiki hazikuchukuliwa basi mhusika awajibike na pia ikiwa jambo baya limetokea na wahusika waliotakiwa kutoa ushahuri hawakufanya hivyo pia wawajibike.
 
Naomba niseme hivi, TISS inaweza kuongozwa na military officer na hasa TMI lakini kamwe on earth haiwezekani JWTZ na hasa TMI au jeshi lote kwa ujumla kuongozwa na TISS officer. Remember Major General Kombe, Colonel Abson kwa uchache tu hawa ni wanajeshi. Pia napenda kuwafahamisha kuwa wakuu wengi wa usalama wa taifa wa mikoani na wakati mwingine wilayani ni ma major wa jeshi. Kwa kifupi majasusi wengi wa TISS wanatoka TMI na siyo majasusi wa MI wanatoka TISS.
Namalizia kwa kusema japokuwa idara hii ni nyeti sana lakini mfumo wake uko monitored na jeshi. Ukienda balozi zetu nje ya nchi na hasa yale mataifa makubwa, kwa sehemu kubwa wasaidizi wa mabalozi ni waambata wa kijeshi though na TISS huwa wapo humo ubalozini.
Kikosi cha kumlinda rais wetu kwa sehemu kubwa ni MI na baadhi ya vijana wa TISS.
Kwa kifupi TISS huundwa kwa sehemu kubwa na Jeshi na hata recruiter wa vijana wa TISS kwa sehemu kubwa ni jeshi.
Ndo maana TISS nayo kwa sehemu kubwa hufanya kazi zake kwa kufuata tamaduni za jeshi letu na siyo vice versa.
Kwa leo ni hayo tu.
 
mmh!..
 
TISS NI CHOMBO CHA CCM. This kantre bwana!!!!!!!
♥?
☆♬♪♀♂♨☎☞☜♤♠★◇◆□△◁■♡♧♣±
 
Aluuu haya maelezo yako yamenifanya nigundue kuwa inaoneka jeshi liko kila pahala penye nyanja ya ulinzi.

Sasa naomba unisaidie inapotokea jeshi linataka kufanya uhaini kama ile miaka ya mwanzoni ya 80s tunavyo simuliwa kamba kuna walijaribu uhaini. Sasa nani anahusika kuzui hilo likitokea. Tizz au polisi?
 
Hao TISS na MI nao ni binadamu na kuna ambao pia wanachukua rushwa na ndio maana unaona Wahamiaji haramu wanavuka mipaka lakini wanakuja kukamatwa let say Dodoma ilhali wamepita check point zoote za Uhamiaji ndani ya mipaka yetu.

Je mwafahamu immigration intelligency unit na kazi zao mpakani
Kama MI ndo wanafanya kazi za immiu kwa nn waulizwe uhamiaji tatizo bongo masifa kama wakongo
Ina maana kulinda taifa hakuusiani na ubadhirifu wa pesa.
Mmetaja wakimbizi Na wahamiaji haramu vp idala husika zimelala
Mikataba mibovu sio tisho,
Uchakachuaji wa katiba mpya sio tisho,
Sheria ya tiss kuanzishwa kwake mnaifahamu,
Eti wametunza amani ya nchi mbona mwawatenga polisi au marungu mmechoka, na kazi zote za mipaka hapo ni uhamiaji na vitengo vyake acheni ushabiki
 
Aluuu haya maelezo yako yamenifanya nigundue kuwa inaoneka jeshi liko kila pahala penye nyanja ya ulinzi.

Sasa naomba unisaidie inapotokea jeshi linataka kufanya uhaini kama ile miaka ya mwanzoni ya 80s tunavyo simuliwa kamba kuna walijaribu uhaini. Sasa nani anahusika kuzui hilo likitokea. Tizz au polisi?

Mkuu wale waliotaka kufanya uhaini ni kikundi tu ndani ya jeshi, so mipango yao iligunduliwa mapema na MI na siyo TISS kwasababu japo TISS nao wapo jeshini lakini siyo wengi, na mara nyingi wapo kwa kazi maalumu na siyo zote.
Kwa maana hiyo basi MI ndo walizima ule mpango wa wale wahaini hiyo miaka ya 80.
Unachotakiwa kujua ni kwamba hakuna chombo chochote cha usalama wa nchi yetu kinachoweza kupindua nchi hata kama mchoro huo utafanya na viongozi wote wa juu isipikuwa jeshi lenyewe. Kama ile miaka ya 80 ule mpango ungekuwa ni wa jeshi zima na siyo kikundi flani cha wanajeshi inamaana hakuna ambaye angezima lile jaribio. Wangefanya watakavyo kwasababu siri za usalama zote za nchi wanazo wao. Sasa kwa mfano jeshi la polisi lote ama idara ya usalama itake kuasi kwa vyovyote haitafanikiwa na mpango wao utakufa kabla haujaanza labda mpango huo uwe supported na mataifa ya magharibu.
Ila jamaa yetu Mwamnyange ama any senior general aseme anakinukisha ni masaa tu nchi itakuwa mikononi mwao lakini siyo chombo kingine chochote cha usalama wa nchi.
Hiyo ndo superior ya jeshi duniani kote.
Kwa taarifa, jeshini na hasa hawa MI ni watu wenye akili sana na very strategic. Davis Mwamnyange katokea huko. Na ni jasus mzuri sana.
Asante.
 
vp huyu mwakibolwa naye ni wa kitengo hicho.mana swala la kuwafurumusha m23 limempatia ujiko kweli.
 
oooh safi sana. Sasa Mwamnyange anaweza vipi kukinukisha wakati inaonyesha masuala ya kiusalama jeshini yana check and balance katika muondo na mfumo wake ya hali ya juu. Inaonyesha kabisa kuna mageneral wakubwa wajeshi ambao wanaweza wasimtii kama sio amri halali, kufanya uhaini kwa mfano.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom