Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gudi gudi! Kwa hiyo kwa mtazamo wako tu maeneo uliyo taja kuwa ffu huonekana ya na dalili kubwa za kutokea ghasia sio?
Pia mp wataonekana katika maeneo ambayo si salama sana. Sasa na shindwa kuelewa kwa nini ghasia zionekane kupewa uzito zaidi ingawa hatuoni lile gari la washwasha kwenye msafara sana sana unaweza kuona gari la wagonjwa.
FFU wanakuwepo kama moja ya utaratibu (Protocol) endapo kutatokea ghasia basi wataweza kuituliza na wakati huo huo vyombo vingine vya usalama ambavyo sio lazima kuongozana na Mh.Rais hua vipo tayari kuingia kazini kama wenzao watazidiwa kwa aina yeyote ya hitilafu ya kiusalama.
Kwa hali ya kawaida nchini kwetu kumekua na amani ya kutosha kiasi kwamba hatujawahi sikia Rais anavamiwa na kundi la watu au magaidi akiwa kwenye msafara zaidi ya lile tukio la kurushwa jiwe kwenye msafara wake akiwa ziarani Mbeya nalo halikuvuruga chochote na aliyehusika alikamatwa...labda kunaweza kuweko matukio mengine.. Bila kusahau amani hiyo inatokana na juhudi/ jitihada ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinavyoshirikiana kwa pamoja kulinda nchi nzima.
Mwisho kabisa kwenye usalama wa Mh.Rais kama hua unafuatilia kwa umakini akiwa anapita njiani, kwa asilimia kubwa njia panda (Junction road) tata zote lazma utakuta kuna askari anakuwepo kuhakikisha hakuna dalili inayoweza kupelekea kuhatarisha usalama wa msafara wa Rais, japokuwa wale walinzi wake wamejidhatiti madhubuti kukabiliana na hali yeyote itakayojitokeza. Gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) ni moja ya utaratibu (Protocol) kuwepo kwenye msafara wa kiongozi au kuwepo eneo jirani na ziara ya kiongozi mkubwa kama Rais kwani binadamu anaweza kupata tatizo muda na saa yeyote, huduma ya kwanza lazima iwepo kando.
*Nahisi nimejitahidi kuelezea japo upeo wangu mdogo sana kwenye suala hilo....wahusika wakiona uzi watajazia zaidi...:A S wink:
jf kuna watu waelewa wa mambo sana, asante. Nadhani sita kuchosha. Mbona mh rais akiwa nje ya nchi anakuwa na yule mlinzi mmoja wa jwtz? Wale ffu hatuwaoni hili liko vipi?
Yule ni ADC (Aide De Camp) anaambatana na rais kama ishara ya uwepo wa amiri jeshi mkuu na si vinginevyo. Pia suala la ulinzi nje ya nchi linakuwa chini ya serikali ya huko alipo, walinzi wake wanakuwa na kazi ya kutoa company tu karibu.
mwenzenu mi vumbi tu hapa
Lo lo loh! sasa wewe unataka leta mambo mengine kabisa tofauti na maelezo niyoyapata hapo awali.
Nilivyo kuelewa rais akiwa nje ya nchi yule mlinzi wake wa jwtz anakuwa muambata wa kijeshi ADC. Ulinzi wake unakabidhiwa kwa wenyeji wake sawa. Wale ffu wanao mlinda wanato kampani tu. Swali mbona hatuwaoni wakitoa hiyo kampani.
Huku nyumbani tunawaona wakiwa wako fully na zana zao zote ikiwa ni pamoja na yale majaketi ya kuwakinga na upepo kwenye ile landrover yao pickup. Iweje huko nje tusiwaone hivyo?
Inaitwa MI.... Hicho ulichotaja ni cheo ...CMI - chief of millitary intelligence .....Msaidizi wake anaitwa DMI - director of Millitary Intelligence.
kazi ngumu Sana Hiyo ..hawa Ndio hufanya infiltration kwenye Nchi yeyote yenye mwelekeo wa kuwa Adui ...ukisikia watu wanatangaza vita ujuwe hawa miaka hadi mitatu kabla walishaingia kwa Adui .. ( kujipenyeza)
Hakuna TMI bali CMI ....... fungua huu uzi kila kitu kimeelezwa na wadau Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?
Nadhani ni kutokana na nchi anayoenda kuwa na vikosi husika na chain of command kutokana na hali yao based on security analysis report ya nchi husika. Sasa ukienda na na vikosi vyoote huko chains of command zinakuwaje!!!!
Najua swali litakuwa mbona Rais Obama alifanya hivi na vile??!!!!
Jamaa uliyem-quote nilipotaja walinzi wa rais akadhani walinzi wa rais ndio ffu! anauliza kwanini haoni wakimpa kampani huko nje ya nchi?!!
Swali ulilomuuliza ni zuri tu mkuu kwamba aliona wapi rais wa nchi nyingine akiwa na "force unit/anti-riot" katika nchi inayo mu-host!!!???
Nadhani ni kutokana na nchi anayoenda kuwa na vikosi husika na chain of command kutokana na hali yao based on security analysis report ya nchi husika. Sasa ukienda na na vikosi vyoote huko chains of command zinakuwaje!!!!
Najua swali litakuwa mbona Rais Obama alifanya hivi na vile??!!!!
Asante sana mkuu. Sasa wewe mwenzetu una kautalamu fulani ka mambo haya ya ulinzi.
Nikuulize hivi ni busara kuiachia chain of command ya nchi mwenyeji kumlinda rais wetu?
Kuhusu obama sitauliza maana wakati wa ujio wake hapa magazeti mpaka ya udaku yalituelezea kuhusu ulinzi wake.
Mkuu natumbaku Chambeho nimekwambia rais ana walinzi wake maalum sio ffu, au unaweza kuniambia ni lini na wapi uliwaona PSU wamebeba zana za kivita ili kumlinda rais?
Hiyo chain of command unajua ni nini na ina kazi gani?
ni MI sio CMI
kiongozi nilikuwa namueleza ndugu MTAZAMO kwenye hii post hapa chiniKwani Mimi nimesamaje?? Naomba soma upya andishi langu !
Hakuna TMI bali CMI ....... fungua huu uzi kila kitu kimeelezwa na wadau Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?
Asante sana mkuu. Sasa wewe mwenzetu una kautalamu fulani ka mambo haya ya ulinzi.
Nikuulize hivi ni busara kuiachia chain of command ya nchi mwenyeji kumlinda rais wetu?
Kuhusu obama sitauliza maana wakati wa ujio wake hapa magazeti mpaka ya udaku yalituelezea kuhusu ulinzi wake.