The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Hiyo ndio inayoshughulikia masuala ya kiulinzi na ndio inatoa ulinzi kwa rais mgeni.
Bado hujasema ni nini? hapo umejaribu kuelezea kazi yake tu japo sio kwa ufasaha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio inayoshughulikia masuala ya kiulinzi na ndio inatoa ulinzi kwa rais mgeni.
1. Route ya kupita kiongozi "considering all possibles" unaweza panga ukiwa kwa watu??!!!
2. Traffic control nayo utapeleka watu wako???!!
3. Risk assessment utaifanya kwa muda gani mpaka uweze kuwa na least riskier-more likely safe to be routes and destinations!!!???
4. Just in case of ambush; evacuation, alternative route na destination katika nchi ya watu hii itakuwaje??!!
5. Hebu tuwaze wote, mauaji ya viongozi na marais kwa nini hufanyika zaid nchini mwao na sio ugenini???!!
Nadhani kingozi ugenini atakuwa na walinzi wake kama kawaida ila kuna vitu lazima wenyeji na wageni
waliotangulia washirikiane kwa ukaribu ili kupata ufanisi wa ulinzi na usalama!!!
Hivi ile ndege ilitunguliwa na kuua viongozi wa maziwa makuu wale walikuwa wanatokea nchi gani kwenda
wapi na labda kwa nini ilitunguliwa ndege na sio kufia nchi walikotoka au nchi walikokuwa wakienda???!!
Mkuu haya ni mambo ya kitaalamu uliobobea kabisa. Kumbe ulizi wa kiongozi nje ya nchi ni suala tegemezi sana.
Kuna post moja hapa nilisoma ikisema mi kabla nchi haijatangaza vita wanakuwa wako huko kwenye nchi adui kwa udakuzi muda mrefu. Sasa kwa nini hili lisifanyike kwa safari za rais. Yaani hao ffu hawaendi halafu kila kitu wanakabiziwa command chain ya nchi nyingine hapa kuna mapungufu tena makubwa.
Haya hapa umeongelea maraisi walio dunguliwa. Kama sikosei walitokea hapa kwetu. Na walidunguliwa rwanda. Kama nimelewa vizuri jukumu la ulinzi lilikuwa kwetu maana walikuwa wageni wetu sawa.
Sasa niulize kwa nini tuliwashauri wapande ndege moja wote wawili?
1. Labda huwa wanatangulia na labda ubalozini kuna ambao pia wanahusika na ujio wa kiongozi wao ku liaise watu na situation!!!!
2. Labda yawezekana wakati wa ku depart mnarudishiwa in full mambo yenu kwa mujibu wa kwenu na taratibu zenu ikiwamo hiyo chain of command inakuwa solely yenu!!!
3. Labda baada ya kusema mnavyotaka kuondoka wenyeji wanahakikisha tu matakwa yenu!!!!
4. Kabla ya kusema "walishauriwa" kuondoka na ndege moja kwani walikujaje mkuu???!!!
5. Hivi ukiwa ugenini unakuwa "held hostage" kuwa unachoambiwa lazima kifanyike???!!!
6. Je anapokuwa kiongozi angani ndege inapovuka anga la nchi fulani, usalama unakuwa chini ya nani??!!
7. Anga inapodunguliwa ndege kama Malaysian juu ya Crimea nani anakuwa answerable???!!!
Swali lilikuwa je ni rahisi ndani ya nchi au huko ugenini, historia inatumbiaje juu ya mauaji ya viongozi???!!

Mkuu ukiuliza maswali magumu hivi utatufanya tuanze kuficha ujinga wetu, hii ni kwenda kinyume na kauli mbiu ya jf.
Ila katika maswali uliyo uliza nimegundua kuna uwezekano wale ffu wanabaki kwenye ndege kusubiria ili kiongozi akimaliza ziara wanakabidhiwa wanaendelea na majukumu yao ya ulinzi.
PSU hawamlindi Raisi tu ila wanawalinda na viongozi wakuu wa tano wa nchi wenyewe wanawaita "The Big Five" ambao ni Rais wa Tanzania,Rais wa Zanzibar,Makamu rais wa Tanzania,Makamu rais wa zanzibar na waziri mkuu
Pia PSU wanahusika na ulinzi wa vitu nyeti vya ya nchi kama mitihani ya taifa ya NECTA na ile ya ualimu question sheets and answer sheets included
Wako highly trained in hand to hand combat,small arms,close quarter protection,diversion tactics na kadhalika
jf kuna watu waelewa wa mambo sana, asante. Nadhani sita kuchosha. Mbona mh rais akiwa nje ya nchi anakuwa na yule mlinzi mmoja wa jwtz? Wale ffu hatuwaoni hili liko vipi?
hehehehe tunadonoa donoa tu mkuu hakuna mambo mengi wala nini...Mh.Rais akiwa ziarani nchi za nje anakua na walinzi wengi sio yule mmoja kama unavyomuona akiwa kavalia sare za kijeshi kwa jina maalum anaitwa (Aide-de-camp) jina la kifaransa kwa zaidi zamia google utapata mengi kuhusu huyo jamaa anesimama nyuma ya Rais muda mwingi.
Anakua na walinzi ambao wanaulambia suti saa zingine hivyo kua kama raia wa kawaida ila wako kazini..wataalam wa kutuliza ghasia (FFU) hawaongozani nae kwa sababu kuna masuala ya kidiplomasia (Diplomatic Security)..nikimaanisha inchi anayoitembelea inawajibika kwa ulinzi na usalama wa mwanadiplomasia anaetembelea kwao, hapo utakuta kuna polisi na vyombo mbali mbali vya ulinzi kwa inchi husika.
**Nadhani nimejitahidi vya kutosha..turudi kwenye mada ya kichwa cha habari huku tumetoka nje ya mstari nahisi..:cool2:
Haya mkuu turudi kwenye maada hawa psu ni mI au tizz maana kwa ilimu niliyopata mpaka sasa hawezi kuwa ffu au polisi kwa maana ya traffic.
Haya mkuu turudi kwenye maada hawa psu ni mI au tizz maana kwa ilimu niliyopata mpaka sasa hawezi kuwa ffu au polisi kwa maana ya traffic.
Comrade heshima yako!!!!!
Mkuu naomba ufafanuzi. Hivi ni psu ( president security unity) ama ppu (president protection unity)? Ipi jina kamili ya hicho kikosi.
PSU nasikia inamaanisha Presidential Security Unit!!
Lakini derivatives ni nyingi kumaanisha kitu hiko hiko!!
Kuna hadi PSS kwa maana ya Presidential Security Services
Higi ranking za TISS zikoje?
acha watu wafunguke.siri gani mkuu?.hizi za tiss kuwa inactive ktk uharamia wa meno ya tembo?,madawa ya kulevya nk?.
TISS wana mfumo wa rank ambao unafanana kidogo na British intelligence yani MI5 na MI6( Military intelligence section 5,Military intelligence section 6)
Wanatambuana kwa herufi. Mfano mkuu wa kitengo flani ataitwa H au M na kadhalika. Hadi official documents za ofisi atasaini kwa herufi hiyo