Hapo walipoandika thank you TANZANIA MILITARY Kwa kumchagua Yutong. Aise ni aibuTulia wewe, jeshi la nchi lipo salama chini Amri Jeshi Mkuu💪View attachment 3195872
Hapo tatizo liko wapi? Hata wangeandika "Tanzania Force" aina shida, Military ni neno pana hata JWTZ imo Police nk......lugha ndo inakusumbua mmekalilishwa maneno hamtaki shule za kulipia mnakomaa na St kayumba.Kwa wenyeji wa Dar Es Salaam Kwa miezi kadhaa sasa tumeshuhudia mabasi mapya kabisa ya kijeshi jijini, na yana nembo kubwa imeandikwa "Tanzania Military".
Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ au TPDF (Jeshi la Wananchi wa Tanzania).
Je, ni kosa la kiufundi au?
Hujui unalosema, Kila taasisi Ina utambulisho wake. Leo ukiona logo ya TRA alafu chini imeandikwa LATRA utasema ni kitu kile kileHapo tatizo liko wapi? Hata wangeandika "Tanzania Force" aina shida, Military ni neno pana hata JWTZ imo Police nk......lugha ndo inakusumbua mmekalilishwa maneno hamtaki shule za kulipia mnakomaa na St kayumba.
Ulitaka wachague Scania ?Hapo walipoandika thank you TANZANIA MILITARY Kwa kumchagua Yutong. Aise ni aibu
Military police inafahamiaka, sawa na idara mbali mbali ndani ya JWTZ ila hili ni jina linaloweza ashiria jina la jeshi letu ila si jina la jeshi letuMi nimeshaona gari za JW zimeandikwa Military police na sijaona shida. Military police ni idara ya polisi ndani ya jeshi?
Neno military sio logo mkuu.....na sio jina la jeshi lolote ni holistic word that my include many unit forces, ......Hujui unalosema, Kila taasisi Ina utambulisho wake. Leo ukiona logo ya TRA alafu chini imeandikwa LATRA utasema ni kitu kile kile
Si kosa la kiufundi, military ni moja tu nchi hiiKwa wenyeji wa Dar Es Salaam Kwa miezi kadhaa sasa tumeshuhudia mabasi mapya kabisa ya kijeshi jijini, na yana nembo kubwa imeandikwa "Tanzania Military".
Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ au TPDF (Jeshi la Wananchi wa Tanzania).
Je, ni kosa la kiufundi au?