'Tanzania Military' ni nani?

'Tanzania Military' ni nani?

Pale nyumbu kwanini wasitengeneze mabus kama haya Kwa ajali ya Askari wetu baadala ya kununua?

Hizi bus za kisasa hatari kwa vyombo vya usalama, ni rahisi kuwa chipped na kutumika kwa ajili ya spying.

Tungeanza kupunguza utegemezi wa baadhi ya military facilities na hardware na baadala yake tungeanza kuwa tunatengeneza wenyewe.

Kuunda bodi na chasis sio kazi, sidhani kama nyumbu wangeshindwa, tungeagiza engine kutoka weichai au hata man etc pure mechanical, mechanical gearboxes, na differentials halafu tunaagiza nyingine as spares lakini ni kwa ajili ya kustudy (copy and paste) na kuanzia hapo watalaam wetu wanaanza kufyatua zakwetu wenyewe.

Pale liganga Kwa kuanzia tungeanza kuchimba kile chuma Kwa ajili ya malitary hardware tu, na kila kwenye copper tungefanya hivyo na wahusika ni hao hao wanajeshi, hiko chuma kingetumika kutengeneza vifaa vya kijeshi tu.
kweli mkuu hii kitu hata kenya wameweza wametengeneza wenyewe tena ni mabasi ya umeme makubwa kama haya..sema huku kwetu labda mambo ya 10% si unajua tena kila kitu ni fursa ya ulaji
 
Wewe kweli kiazi na kipindi kile yameandikwa Military Bus ilikuwaje.
 
Nioneshe chet chako cha kuzaliwa na mm nishow af ndio uniite dogo
Sio chet ni cheti wewe dogo kutoka kusini mwa jangwa la Sahara sio mm ni Mimi au haujasoma somo la nomino mwanetu na kikofia chako cheusi
 
Back
Top Bottom