Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nimejikuta nanunua bando mara mbili kwa Tigo na Voda! Shenzi kabisa dahMtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
Naona Voda, tiGO zinasuasuaMtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
hahahaMaandalizi ya malaika kushuka tena
Maandalizi ya malaika kushuka ten
Kwambaaaa???😅mnaishi ukimani tarajieni lolote wakati wowote
Tuwashie hotspotNMENUNUA BUNDLE HADI BASI😂