Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani
Kilichonishtua nilijaribu kuwasiliana na mpenzi nashindwa (yuko safari ambako mawasiliano tunafanya kwa Internet)

Baadae nilichoka nikalala nikasema nikiamka nitatumia line ya Voda kwa kudhani Airtel ina shida, naamka ndio nakutana na hizi taarifa.
 
Hali ni mbaya aisee... naona walau Tigo ndio ana nafuu.... Vodacom hali sio hali tangu saa 4asb
 
Kilichonishtua nilijaribu kuwasiliana na mpenzi nashindwa (yuko safari ambako mawasiliano tunafanya kwa Internet)

Baadae nilichoka nikalala nikasema nikiamka nitatumia line ya Voda kwa kudhani Airtel ina shida, naamka ndio nakutana na hizi taarifa.
Unatoa taarifa au unajigamba ili uonekane yaliyomo yamo?

Sometimes be humble hutapungukiwa na kitu.
 
Kilichonishtua nilijaribu kuwasiliana na mpenzi nashindwa (yuko safari ambako mawasiliano tunafanya kwa Internet)

Baadae nilichoka nikalala nikasema nikiamka nitatumia line ya Voda kwa kudhani Airtel ina shida, naamka ndio nakutana na hizi taarifa.

Kumbe the bold alivyokuacha kumbe tatizo ni wewe..

Umedhihirisha hapa..
 
Back
Top Bottom