Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hii site ya speedtest ni ya kiwaki sana, yani kui access tu hiyo site imenichukua almost dakika mbili ku load.
Baada ya kumaliza ku load najaribu ku test speed eti inaniambia 34Mbps.
Yani subscription ya Airtel tu niliyolipia ni 30Mbps lakini mitambo ya hiyo site inadai hiyo speed sio ya kawaida ni zaidi ya Mbps 30.
Wakati huo nime husle kufungua hiyo site.
Nimepima kwenye fast hii ndio speed halisi